Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kalipeni mishahara ya walimu na madaktari na countries mpeleke hela si za mafungu.
Hivi, huna habari kwamba teachers and doctors in Kenya are well paid than their counterparts in Tanzania? Unaushi Dunia gani?
 
Kisumu has a lot of construction going on. Kwanza there are construction of 17 buildings of 17 floors each, something that is not happening anywhere in Tanzania.
Which project is that in Kisumu?
 
Which project is that in Kisumu?
This one here.

1731532298472.jpeg

1731532323319.jpeg

1731532389657.jpeg
 
Kenya ndio kuna magari mengi kuliko Tanzania ila sio kwa uwiano mkubwa.
Uwiano ni mdogo sana baina yenu na yetu kuhusu wingi wa magari.
Kenya kuna magari kuliko tanzania na tz ndo wengi ki population kuliko Kenya kuonyesha kenya ni matajiri zaidi
 
Kenya kuna magari kuliko tanzania na tz ndo wengi ki population kuliko Kenya kuonyesha kenya ni matajiri zaidi
Aisee mie sipo upande wa utajiri na umasikini,mimi nipo upande wa miundombinu.
Miundombinu mliyo nayo haikuhitajika kusikika kuwa ninyi mna tatizo kubwa la foleni.
 
Back
Top Bottom