ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
wivu mm wann utanisaidia nn hapa tunaongea facts unafkiri bila kuweka mazingira wezesh kwenye sekta ya afya aliofanya mageuzi makubwa sana magufuli haya unayoyaona leo yangekuwepo, hospital za umma zilikua hazina hata panadol alaf leo tumesahau mageuzi makubwa alioyafanya, hakuna sekta inayofanya vzr nchii ambayo haina athari ya magu hakuna na haitakuwepo
mm mwenyewe nilikua situmii hospital za serekali kwasababu ya urasimu lakini kipindi chake nilijaribu kwenda amana hospital watu walinyooka kama ruler na dawa zote zilikuwepo na huduma zote unapata kwa wakati na nafuu na hakuna x ray mbovu wala MRI 😂😂😂😂😂