Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dola bilioni 20?
Ndio mkiu
dodoma_zone__1731425512567.jpg
dodoma_zone__1731425511811.jpg
 
Nionyeshe interchange au flyover nje ya Dar-is-a-slum 🀣🀣
Tunajenga kama kuna uitaji na sio kujenga tu kama mnavyofanya Kenya.
Miradi mingi Kenya haina manufaa kiuchumi. Treni lenu la chuma na diesel linarun kwenye reli ya kuunga-unga, ndani lina kelele na lina-dundadunda. Mlovyo vilaza mmeenda kuweka kosmetikts kwenye behewa moja mnapiga nale yowe mitandaoni.
 
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨ Bado hujasema Hadi useme πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DCGhK6IN307/?igsh=Nms4cW5ybHYyYWU5

swali ni over 20b usd ndani ya miaka mitatu imekopwaje na kutumiwajeπŸ˜‚πŸ˜‚

yani maswali yangu ni very simple kama utatuliza akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

unanionesha miradi ya REA wakat rea ina tozo kwenye luku na mafuta alaf unaniambia ndio uliongeza deni ??πŸ˜‚πŸ˜‚

unanionesha miradi ya majengo wakat kuna tozo ya majengo imetoka 1000 to 1500 kwa kila meter ya luku kwa mwezi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Onyesha hapa si ulisema mradi ulimalizika mda mrefu? 😁😁

Looser mmja wewe ,Leta ushahidi wa mradi uliomaliza mda mrefu na kuanga kutoa Huduma awamu ya 5 πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCOkETHv9AE/?igsh=OTA5eXp0Zmp3YTBt

My Take: Hakuna mradi ulioanzishwa na kukamilika awamu ya 5,hii Kauli yangu inazidi kupata ushahidi.

wewe akili yako ni ndogo sana huo mradi ni wa nchi tatu na pesa zilitolewa world bank huku kila mtu atalipa kwa share yake leo unakuja kunionesha mradi wa rusumo ambao fedha zake zilishatolewa 2017 πŸ˜‚πŸ˜‚ na ujenzi ukaanza 2017

watu wanataka kujua over 20b usd kwa miaka mutati ziko wapiii????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

unatuonesha miradi ya tarura wakat kuna tozo za miamala zinafanya kazi gani??πŸ˜‚πŸ˜‚ au tozo za miamala nchi hii zinaenda wapi ???

then who is looser ???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom