ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
😆😆😆😆😆 Mchina anaenda kuchukua rasmi Mali yake halali 😁😁👇👇
View: https://x.com/BD_Africa/status/1856170754104004770?t=lkVPcK5qJAcVMdaBq_xypg&s=19
Nyang'au kipchirchir arap Teargas anafikiri hii hatujaiona ha ha ha😁
View: https://m.youtube.com/watch?v=sObKcv0FfCs
Shida yao wanalazimisha mambo ambayo kila mtu anajua, wao kama wanapiga kampeni wapige ila ukweli tunaujua.Naona mmeanza kutoleana risiti za EFD wakuu. 😂😂😂 Dah.!!
Kinajiendea chenyewe 😁😁😁👇👇
View: https://x.com/eastafricatv/status/1855999649082929320?t=U-vmYxsh9R2ZwpMXG9gzyg&s=19
risiti yako hii hapa kaka ukiwa muongo usiwe msahaulifu😂😂😂
View attachment 3149646
View: https://youtu.be/A5SS23YCqG4
Kinajiendea chenyewe 😁😁😁👇👇
View: https://x.com/eastafricatv/status/1855999649082929320?t=U-vmYxsh9R2ZwpMXG9gzyg&s=19
😆😆😆😆😆 Mchina anaenda kuchukua rasmi Mali yake halali 😁😁👇👇
View: https://x.com/BD_Africa/status/1856170754104004770?t=lkVPcK5qJAcVMdaBq_xypg&s=19
risiti yako hii hapa kaka ukiwa muongo usiwe msahaulifu😂😂😂
View attachment 3149646
View: https://youtu.be/A5SS23YCqG4
Hii thread imekuwa ya KIPUMBAVU. Kuna WAPUMBAVU wamevamia hii thread na kuiharibu kabisa. Thread ilikuwa Nai vs Dar na watu waliitendea haki. Ila kuna wangese wamevamia humu hata sijui wamekurupuka kutoka wapi na kuifanya hii thread ni notice board ya TAMISEMI kila dakika kupost miradi ya kigoma sijui tandahimba mara songea inahusiana nini na Nai vs Dar? Yuko wapi NDINDA yuko wapi Simon yuko wapi Chamoto ? Wale wote wenye akili wamekimbia hii thread wamewaachia chawa waendeleze ujinga wao. Nilikuwa nikiingia JF hatua ya kwanza ni humu sasa hivi wala sijisumbui hakuna content kuna upumbavu tu. Hata Teargas anawashinda maana content zake 99% ni kuhusu Nairobi.Hivi nyie watu mnapata faida gani. Wote hao raisi Samia na marehemu Magufuli (alipokuwa hai) wanatekeleza ilani ya chama kilichopo madarakani. Magufuli alianza na falsafa ya 'hapa kazi tu' na Samia amekuja na falsafa ya 'kazi iendelee', na anafanikisha miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa na mtangulizi wake pamoja na kuanzisha miradi kama ilivyoainishwa katika ilani ya uchaguzi. Sasa shida iko wapi?
Wewe ni nyoko kwa vile huoni kampeni za Yule mtu wenu wa Chato zikipotosha humu! Kila mtu ana Haki ya kusimamia anachoamini! Na kueleza ukweli kama ulivyo!Hii thread imekuwa ya KIPUMBAVU. Kuna WAPUMBAVU wamevamia hii thread na kuiharibu kabisa. Thread ilikuwa Nai vs Dar na watu waliitendea haki. Ila kuna wangese wamevamia humu hata sijui wamekurupuka kutoka wapi na kuifanya hii thread ni notice board ya TAMISEMI kila dakika kupost miradi ya kigoma sijui tandahimba mara songea inahusiana nini na Nai vs Dar? Yuko wapi NDINDA yuko wapi Simon yuko wapi Chamoto ? Wale wote wenye akili wamekimbia hii thread wamewaachia chawa waendeleze ujinga wao. Nilikuwa nikiingia JF hatua ya kwanza ni humu sasa hivi wala sijisumbui hakuna content kuna upumbavu tu. Hata Teargas anawashinda maana content zake 99% ni kuhusu Nairobi.