Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ”จ๐Ÿ”จ๐Ÿ”จ Bado sijasikia Hadi useme ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DCEy-VTNPPz/?igsh=MTN2NmtxZHZzbjBkMA==

kuna tozo za REA kwenye luku na mafuta haya tuambie hua zinaenda wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ umeme wote unaonunuliwa nchi hii 3% zinaenda REA haya tuambie sasa

IMG_1059.jpeg
 
Kwani wapi nimesema ni mradi wa Mwendazake? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Wewe hates ndio ulisema mradi ulianza kufanya kazi kitambo,onyesha Sasa mradi ukifanya kazi kabla ya SSH mbona unahamisha magoli?

Kumbe unajua Kila Nchi italipa Mkopo basi jua hayo ndio matumizi ya Trilioni 50.

Kazi inaendelea Hadi useme shikamoo Samia ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCEOJ9Kt3jK/?igsh=MWlsaWhveG1pOGlsNA==

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿปrudi hapa
kuna tozo za REA kwenye luku na mafuta haya tuambie hua zinaenda wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ umeme wote unaonunuliwa nchi hii 3% zinaenda REA haya tuambie sasa

View attachment 3150569
 
Tunajenga kama kuna uitaji na sio kujenga tu kama mnavyofanya Kenya.
Miradi mingi Kenya haina manufaa kiuchumi. Treni lenu la chuma na diesel linarun kwenye reli ya kuunga-unga, ndani lina kelele na lina-dundadunda. Mlovyo vilaza mmeenda kuweka kosmetikts kwenye behewa moja mnapiga nale yowe mitandaoni.
Wacha kutapatapa stick to the question asked..Bado hujaniletea flyover angalau moja nje ya Dar-is-a-slum
 
Matumizi ya Trilioni 50

Rukwa kazi inaendelea ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DBJenUcN1bE/?igsh=MWFoYmE0d2l2aTdoNw==

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป
kuna tozo za REA kwenye luku na mafuta haya tuambie hua zinaenda wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ umeme wote unaonunuliwa nchi hii 3% zinaenda REA haya tuambie sasa

View attachment 3150569
 
ichoboy01 Dozi inaendelea.Matumizi ya Trilioni 50.

Morogoro ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DAt-MbjNL1u/?igsh=MWs0eDJ6eTZqZTR5bw==

REA inatozo mbili kwenye nchi luku na mafuta tuambie zinaenda wapi hzo tozo ili tuone kweli pesa zilikopwa kwa ajili ya over 20b usd in just 3 good years ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tozo za luku na mafuta zinaenda REA zinafanya shughuli gani???

alaf uniambie tozo za miamala kwa ajili ya TARURA zinaenda wapi pia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
NH ni eneo la uwekezaji sio la shule ,wewe kachukue mtoto wako shule ziko nyingi sana na nzuri sana alizojenga Samia hapo Ubungo so wahi Mr hater ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
alaf tunawacheka wakenya au sio ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tunawacheka wakenya wakat kwetu kumeoza kunanuka ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
REA inatozo mbili kwenye nchi luku na mafuta tuambie zinaenda wapi hzo tozo ili tuone kweli pesa zilikopwa kwa ajili ya over 20b usd in just 3 good years ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

tozo za luku na mafuta zinaenda REA zinafanya shughuli gani???

alaf uniambie tozo za miamala kwa ajili ya TARURA zinaenda wapi pia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sijamaliza subiria nikupe dozi ya Matumizi ya Trilioni 50,Wacha wenge ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ruvuma ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DAiWcnDt6rr/?igsh=MThqbHB0bWlkM3Vtdw==
 
Back
Top Bottom