Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kundustan leta shule zenu ambazo ni public owned tuone.

🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCICD61ofSn/?igsh=MWt0NjN2OWhuYWh4Yg==
rc_mkoa_arusha_1731123932935.jpg
rc_mkoa_arusha_1731123933394.jpg
rc_mkoa_arusha_1731123933157.jpg
rc_mkoa_arusha_1731123933856.jpg
rc_mkoa_arusha_1731123934083.jpg
 
Madudu ya kigamboni ya kununua ekari moja Kwa million 400 na majumba ya kijichi yalitokea kipindi gani achana fedha alizokopeshwa manji ili ajenge quality center yalitokea kipindi gani?
Hakuna madudu,Kigamboni ilikuwa iwe satellite City ndio maana gharama za Ardhi zilipanda na kazi ilishaanza mwisho wa siku washamba wa Uongozi walivuruga Kila kitu My America akasepa.

Ile awamu ilikuwa inaharibu Kila kitu sijui walikuwa wametokea wapi,hovyo kabisa,saizi Kigamboni ingekuwa kama eco Atlantic City huko Lagos na kuwa Jiji la Raha na Utalii kama Miami.

Mwisho mradi ule uliokwamba Serikali ya mama imeupiga Mnada na Private sector wamenunua.
 
Kundustan wekeni statistics

Rural water supply Kwa 🇹🇿🇹🇿 ni over 80% 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBx-hrxNEVr/?igsh=eDhhaGtsbzgyYXMw

View: https://www.instagram.com/reel/DAVFy2pNBSS/?igsh=MXJ1emU5cHF4cXNtdg==

My Take: Tulivyofuta shida ya Umeme ndivyo tutaifuta shida ya Maji Tanzania kabla ya 2028,mitambo ya Mama imeleta Mageuzi makubwa kutoka pesa ya COVID 19👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DA8AQx6NLnq/?igsh=NnZrMWVtcnR1cDly
 
Wewe unajua! Group lao ni Dau, Mzee Mohamed Said yule wa historia za uhuru. Hawa ndio walienda kumuona Jumbe kigamboni usiku ili kuandika kitabu.
Dau wakati yuko bandarini kama mkurugenzi masoko alipoenda nje kusoma, nafasi ile alipewa Mohamed Said kuishika mpaka aliporudi wakati huo mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ni Sir Andy Chande.

Assad alitumika na group lile la mkwere na kadi ya makobazi kumzingua JPM.
Huwezi ona wala sikia wakina Zitto wakimpinga Samia/Kikwete kwenye ufisadi kama walivyokua kipindi cha Magu.

View attachment 3147497
Kidogo kidogo tunaingia kwenye udini,halafu ndio tunarudi pale pale,samia angeamua ufisadi wa kalemani na kampuni alizokua akimiliki na zilivyokua zikilipwa kwenye mradi sgr kusingekalika,yule doto james alivyokua kiungo wa kuiba na kuficha pesa za mnene ni hatari,duniani hakuna mkamilifu na jpm kiuhakika alifanya kazi kubwa lkn si kama ndio alikua msafi sana,kuhusu muendelezo wa miradi ya jpm samia nae anahitaji sifa zake kwa kuiendeleza maana kwa katiba mbovu ya nchi yetu rais ndio kila kitu,angeamua sgr iishie hata moro tusingemfanya cct kama jpm alivyobadilisha mchoro wa daraja la ubungo na kuacha miradi nyumba za kawe n.k
 
Back
Top Bottom