ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,414
- 88,507
๐จ๐จ๐จ Bado sijasikia Hadi useme ๐๐swali ni over 20b usd ndani ya miaka mitatu imekopwaje na kutumiwaje๐๐
yani maswali yangu ni very simple kama utatuliza akili ๐๐๐๐
unanionesha miradi ya REA wakat rea ina tozo kwenye luku na mafuta alaf unaniambia ndio uliongeza deni ??๐๐
unanionesha miradi ya majengo wakat kuna tozo ya majengo imetoka 1000 to 1500 kwa kila meter ya luku kwa mwezi ๐๐
View: https://www.instagram.com/reel/DCEy-VTNPPz/?igsh=MTN2NmtxZHZzbjBkMA==