ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,252
Nakazia![]()
Tanzania mobilises Sh25 trillion for mega projects under PPP
The Public-Private Partnership Centre (PPPC) is currently overseeing over 84 PPP projects in various sectors, including infrastructure, hydropower, and otherswww.thecitizen.co.tz
Ni upepo tu utapitaHii thread imekuwa ya KIPUMBAVU. Kuna WAPUMBAVU wamevamia hii thread na kuiharibu kabisa. Thread ilikuwa Nai vs Dar na watu waliitendea haki. Ila kuna wangese wamevamia humu hata sijui wamekurupuka kutoka wapi na kuifanya hii thread ni notice board ya TAMISEMI kila dakika kupost miradi ya kigoma sijui tandahimba mara songea inahusiana nini na Nai vs Dar? Yuko wapi NDINDA yuko wapi Simon yuko wapi Chamoto ? Wale wote wenye akili wamekimbia hii thread wamewaachia chawa waendeleze ujinga wao. Nilikuwa nikiingia JF hatua ya kwanza ni humu sasa hivi wala sijisumbui hakuna content kuna upumbavu tu. Hata Teargas anawashinda maana content zake 99% ni kuhusu Nairobi.
Semaji la Yanga limeingia Choo cha kike
View: https://x.com/Rydx_017/status/1856043744723931598
CC: ichoboy01
Gari mbili interchange 🤣🤣🤣
Tatizo hawa ni brand ambassadors na maneno ya shombo hayaendani na Brands Mwijaku atamwaribia Zungu brand yake!Anaropoka tu huyu Mwijaku,hata ukitizama speech alotoa Manara ni ya maturity ila ukimsikiliza Mwijaku unajua mropokaji tu.
Mwijaku bado sana kumfikia Manara kifedha.
Kundustan Without mikopo backed reserves no dollars at all 😆😆😆👇👇
View: https://x.com/BD_Africa/status/1856204311182574044?t=tG1H53PX25J30kY1RQmeMw&s=19
Vs
🇹🇿🇹🇿👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCRKvJBItOJ/?igsh=MW1odWd1MXdsOTZmOQ==