Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaweza kueleza ilikuwaje kipindi cha Magu hakukuwa na wizi?
Mkuu kipindi Cha magu sio kwamba hakukuwa na wizi Bali wizi ulifanyika kwa kiwango kikubwa kukawa na udhibiti mkubwa wa media na watu kuongea. Ndo kipindi pekee ambako Cag aliondolewa madarakani bila utaratibu . Na uibe vizuri pesa ni Kuanzisha miradi na miradi mingi ilikuwa chini ya ofisi yake hata haya manunuzi ya ndege hakuna anayejua.
Ntakupa mfano tu wa ununuzi wa mabehewa chakavu ya sgr kutoka ujerumani ambayo yalinunuliwa kwa karibia mara mbili ya Bei ya mabehewa mapya
Kuhusu hii ya kikwete kwenye ujenzi wa barabara, iko technical kidogo. Kumbuka waziri aliyesimamia hizo barabara alikuwa huyo huyo Magu. Kwa haki ya marais wote wawili tungelinganisha miradi mingine ya kikwete ambayo haikuwa chini ya wizara ya ujenzi ili tuwe fair kwa wote.
Mkuu ukisema kwamba tumtoe kwa sababu alikuwa wazir unatakiwa ujue kuwa rais ndo mtoa pesa na sio waziri , waziri ni msimamiz tu.
Labda ili twende kihaki toa wewe suggestion tulinganishe wapi ? Elimu,afya ,maji au haki za watumishi
Kaka, hatukatai anayoyafanya mama Samia, kuendeleza miradi ya awamu ya tano, ambaye yeye mwenyewe alihusika. Tofauti ya Magu na wengine ni kuwa miradi yake ilikuwa ni a game changer, yaani alifanya a paradigm shift kwa watanzania na Afrika kwa ujumla, alionesha tunaweza. Yale mawazo ya kuwa Afrika haki yetu ni treni za gari moshi aliondoa, wakubwa walitaka tuifufue MGR tuu. Eti, tukitaka kupanda mchongoko twende kwao, Kha!
Mkuu nakubaliana na wewe lakini at least abgeruhusu kuwepo kwa ukaguzi wa miradi husika badala ya kuikumbatia. Hivi mtu letsay akununulia chakula Cha buku ukiwa na njaa ila akatumia risit kkukutengenezea deni la mil Moja utabaki unasema ni mwema kwako
Ndiyo maana hadi watu wa mataifa wakaja na slogan za "magufuli effect" na "what would Magufuli do". Nitajie kiongozi mwingine wa Africa aliyepewa hash tags kama hizo?
Wanakuballi kwa sababu alificha darkside ya uovu
 
Usimamizi mbovu,hata brt binafsi nashangaa walioufelisha ule mradi bado wapo mtaani,mimi nishawahi kumiliki hiace ambayo ilikua inapiga kazi nje ya mji,foleni,makosa ya barabarani na bado pesa nilikua naiona,how come brt ishindwe kuleta faida ikiwa kwanza kuna abiria wa kutosha hadi wengine wanakaa saa nzima bila kupata gari,brt aiandikiwi faini za barabarani,aikai foleni na bado imefeli,pesa yote imeenda kwa watu na hao watu wapo uraiani halafu jela wamejaa wezi wa kuku!
Kwa ujumla bongo ukipata tender wewe ni fisadi. Sikuona haja kuvunja mkataba na kisena wakati alikuwa anaperform vizuri sana hata kama kulikuwa na madhaifu ilitakiwa kukaa naao meza Moja na kufanya marekebisho.
 
Mkuu kipindi Cha magu sio kwamba hakukuwa na wizi Bali wizi ulifanyika kwa kiwango kikubwa kukawa na udhibiti mkubwa wa media na watu kuongea. Ndo kipindi pekee ambako Cag aliondolewa madarakani bila utaratibu . Na uibe vizuri pesa ni Kuanzisha miradi na miradi mingi ilikuwa chini ya ofisi yake hata haya manunuzi ya ndege hakuna anayejua.
Ntakupa mfano tu wa ununuzi wa mabehewa chakavu ya sgr kutoka ujerumani ambayo yalinunuliwa kwa karibia mara mbili ya Bei ya mabehewa mapya
Mzee kweli unajuwa ku spin, nipatie mifano ya scandals kama za IPTL, Escrow, EPA, Radar, kuuzwa kwa NBC katika awamu ya 5.
Mkuu ukisema kwamba tumtoe kwa sababu alikuwa wazir unatakiwa ujue kuwa rais ndo mtoa pesa na sio waziri , waziri ni msimamiz tu.
Labda ili twende kihaki toa wewe suggestion tulinganishe wapi ? Elimu,afya ,maji au haki za watumishi
Kweli, rais ndiyo mtoa pesa ila kama siyo msimamizi mzuri, watu watakula kwa urefu wa kamba zao.
Mkuu nakubaliana na wewe lakini at least abgeruhusu kuwepo kwa ukaguzi wa miradi husika badala ya kuikumbatia. Hivi mtu letsay akununulia chakula Cha buku ukiwa na njaa ila akatumia risit kkukutengenezea deni la mil Moja utabaki unasema ni mwema kwako

Wanakuballi kwa sababu alificha darkside ya uovu
Mbona haya ya kugushi ndiyo yaliyozuiwa zaidi amwamu ya 5? Hivi unafikiri wananchi ni wajinga kumpenda Magu? siyo rahisi kudangaya watu mil 60, kama unayosema ni kweli watu wangesema.
 
Mzee kweli unajuwa ku spin, nipatie mifano ya scandals za Escrow, EPA, Radar, kuuzwa kwa NBC katika awamu ya 5.

Kweli, rais ndiyo mtoa pesa ila kama siyo msimamizi mzuri, watu watakula kwa urefu wa kamba zao.

Mbona haya ya kugushi ndiyo yaliyozuiwa zaidi amwamu ya 5? Hivi unafikiri wananchi ni wajinga kumpenda Magu? siyo rahisi kudangaya watu mil 60, kama unayosema ni kweli watu wangesema.
Mzee kweli unajuwa ku spin, nipatie mifano ya scandals za Escrow, EPA, Radar, kuuzwa kwa NBC katika awamu ya 5.

Kweli, rais ndiyo mtoa pesa ila kama siyo msimamizi mzuri, watu watakula kwa urefu wa kamba zao.

Mbona haya ya kugushi ndiyo yaliyozuiwa zaidi amwamu ya 5? Hivi unafikiri wananchi ni wajinga kumpenda Magu? siyo rahisi kudangaya watu mil 60, kama unayosema ni kweli watu wangesema.
Kabla hata ya kutaja scandal, unadhani CAG Assad alifukuzwa na kunyimwa salary ya miezi 6 Kwa sababu gani? 😆😆😆😆😆

Unaijua Ile 1.5T? Unaijua Ile pesa walichota BoT baada ya Magu Kufa?
 
Prof. Assad walikuwa na bifu na Magu kabla ya kuwa rais, hadi leo bado anamlalamikia marehemu, sasa huoni hiyo ni personal matter?
 
Back
Top Bottom