Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na sio kwamba alimaliza mihula yake. Alikufa tu kitu ambacho ni natural. Sijui binadamu wengine wanatumia akili gani kumlaumu Mtu aliyekufa akiwa madarani..eti hakumaliza miradi...sasa mlitaka amalizeje wakati amekufa?
Angefika 2025 miradi kiwa nusu hapo nami ningesaport kuwa hakumaliza miradi. Sasa mnalalamikiaje mtu ambaye ni marehemu?

Sasa hiv 2024.
Magu angekuwepo.
1. SGR ingeishafika Mwanza kitambo sana
2. Mv Mwanza hapa kazi tu ingekuwa na safari zake za Bukoba kila siku
3. Tungekuwa tunateleza tu Kigongo busisi
4. Magufuli city ingeshaisha. Sasa wangekuwa wanapanua Barabara tu
5. Msalato Airport phase 1 ingekuwa inafanya kazi.
6. Huenda kimara kibaha highway ingekuwa Mlandizi huko
Nk nk
Endelea kuota!
 
Mkuu nadhan Inawezekana kwako ujenzi ni barabara labda ni kwasababu havitangazwi kama kipindi Cha magu kwako inakuwa ngumu kutambua. Kuna miradi mingi sio ya ujenzi kwa kada mbalimbali Mimi ntakutajia michache tu
1. Ajira almost 150,000 magu alikaa miaka mitano hakufikisha hata 4000 huo ni mrad sababu wananchi wanahitaji kazi
2. Ujenzi wa madarasa nchi nzima, shule za 3bil Kila mkoa, ujenzi wa shule mpya Kila kata .
3 , ujenzi wa miradi ya maji mipya ( ruvuma - Mangaka(30bil

Mkuu maendeleo sio barabara tu Kuna mpaka human development ikiwemo ajira. Ukitoa mfano wa mwigulu kumbuka alikuwapo enzi za magu Sasa Mimi naweww tuulizane kapata wapi Sasa au kipindi kile maana hata makonda umuweke kwa utajiri alionao maana kwa mshahara wa mkuu wa mkoa Hana uwezo wa kununua hata hiyo range

Mifumo nyinyi ndo hamuitaki Cag alipoadhibiwa kwa kuibiwa wizi Kila mtu akisema ana bifu na magufuli hakuna aliyeangalia chanzo

Mimi simuamini yeyote ila naamini katika kutengeneza mifumo dhabiti na ukweli tu na ndo maana kwangu kikwete was the best of all Sabab aliachia watu watiririke wajuavyo tukayajua mawizi makubwa sana Dunia hii
Nyinyi kina nani, hapo kwa cag,
Halafu huwa napata ukakasi sana nikona mtu mzima mwenye akili timamu anasema ujenzi wa madarasa ni maendeleo , seriously ?
 
Mkuu ukisema Cag ni nin basi hakuna haja ya kuwa na jeshi kwa Sabab hatuna vita Wala polisi kwa sababu tutawaambia watu wasiibe tu
Mkuu huwez jua kama ni maendeleo kwa sababu hujaona umuhimu wa kuwa na elimu Bora.
Mkuu unataka kunambia Karne hii watoto waendelee kusoma chini ya miti
 
Nakumbuka waliyakana kama hayana mwenyewe😎
Hivyo vilikuwa vichwa vya treni yaan unapakiaje kitu kama kichwa Cha treni pasipokuwa na documents ila kwa sababu tulizoea kuibiwa tukapiga makofi.
Mimi nazungumzia mabehewa ya ghorofa 30 eti viwanda vilikuwa vimefunga
 
Dutch charter airline resumes flights to East Africa​

Anthony Kitimo
Thursday, November 07, 2024 - 3 min read
tui.jpg

A Tui Boeing Dreamliner receives a water cannon salute as it lands at Moi International Airport (MIA) in Mombasa on November 5, 2024.
Wachira Mwangi | Nation Media Group

By Anthony Kitimo
Correspondent based in Mombasa, Kenya
Nation Media Group

Dutch charter airline Tui has resumed operations in the East African region with a maiden flight to Zanzibar.

A Tui Boeing Dreamliner touched down at Moi International Airport (MIA) in Mombasa, Kenya, on Tuesday morning for the first time in six years, when the carrier suspended services following an upsurge of insecurity, exacerbated by the outbreak of the Covid-19 pandemic outbreak.

On its first flight, the airline said 40 percent of the tourists on board were travelling to various sites in Kenya, with the rest heading to its next stop in Zanzibar.

Kenya and Tanzania, usually rivals in tourism, have been trying to attract visitors from new markets. Unlike Kenya, Tanzania did not close its borders during the Covid-19 pandemic, but was also hit after airlines cut routes as passenger numbers fell.

Tui, whose parent firm is the world's largest tour operator, stopped chartering tourists to Kenya after the UK Foreign and Commonwealth Office warned against non-essential travel to Mombasa, Garissa and Eastleigh in Nairobi due to security concerns. It later extended the suspension following the Covid-19 pandemic in early 2020.

Tourism recovery​

Kenya and Tanzania have adopted different recovery models. Tourism investors say Kenya could lose out to Tanzania because of policy changes, including increased park entry fees and the slow opening of the skies to more airlines.

Osman Mohammed, the Mombasa County tourism executive, said the open skies policy was starting to bear fruit and the resumption of Tui was an indicator of better tidings.

“We have been struggling to recover to pre-Covid numbers, but there is hope with the resumption of different direct flights to Mombasa.

“Last year, Mombasa only got 10 percent of the two million international visitors who toured Kenya and we hope to double the number in the next one year,” he said while receiving the airline at the Moi International Airport.

Kenya Tourism Cabinet Secretary Rebecca Miano last week launched holiday campaigns to attract more tourists TO the Coast region, saying the security situation provides a clam environment for tourists.

“We shall meet different tourism investors in trying to address different challenges they are facing,” said Ms Miano.

Tui, which owns a number of hotels and lodges in East Africa, has been operating in the region using third party airlines, mainly KLM and British Airways, during the period of suspension. It will now fly twice a week to Mombasa and Zanzibar.

Tui Captain Robert Gijsbertse said Tanzania and Kenya are unique destinations that offer customers the chance to visit to real natural environments.

MY TAKE
TUI flights to Zanzibar are not maiden flights! The airline was flying to Zanzibar before Corona's outbreak!

View: https://youtu.be/WhX8LnbHzc0?si=WtMOuWkGdqHOLH7Q

BTW it is not true that 40% of PAX on that flight unboarded the flight in Mombasa! As over 300 PAX were dropped at Zanzibar as I don't think that plane takes over 400 PAX!
 
Najua haya ni makombo baada ya kula vinono
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

Barrick ni walipakodi namba 1 hapa Tanzania Kwa migodi ,ukiacha shares zile za serikali plus CSR.

Not so bad,wajamaa mna mawazo hasi ilhali huna hata uwezo wa kuwekeza kwenye mgodi.
 
Hicho ni kigazeti ni Cha Kundustan ndio maana kilipigwa ban Kwa sababu hizi hizi za uzushi.

Kama hawaelewi Serikali iwafutie kabisa keseni wapuuzi sana hao ilinwaende Kundustan wakaandike vizuri
 
Mkuu ukisema Cag ni nin basi hakuna haja ya kuwa na jeshi kwa Sabab hatuna vita Wala polisi kwa sababu tutawaambia watu wasiibe tu
Mkuu huwez jua kama ni maendeleo kwa sababu hujaona umuhimu wa kuwa na elimu Bora.
Mkuu unataka kunambia Karne hii watoto waendelee kusoma chini ya miti
Boss , hakuna awamu ambayo haijengi madarasa, tangu nchi ipate uhuru , tunaongeza watoto milioni mbili kila mwaka , that’s should be included in every budget . Usiwe kama wajinga wengine humu. Ujenzi wa ma darasa huwezi ongea na watu wazima kuwa mmefanya maendeleo.
Hizi n récurent expenditure.
Halafu kuna watu humu mnatia shaka the way you argue.
 
Battle imebadilika sasa. Imekuwa Teams mbili za Tanzania kushindana. Hii ni ushahidi tosha kuwa Kundustan is dead. Hawaleti content tena za kuwashughulisha wabongo

nairobae NairobiWalker Teargas wametepeta
😀 😀 😀
Mmeshindwa na battle mkaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe, sisi wakenya hatunanga tabia za kuingilia vita vya watu wengine. Nyinyi mpiganeni mkimaliza njooni tuwacharaze makofi na mangumi.
 
Back
Top Bottom