Hamna mkuu
ichoboy01 yupo humu mda mrefu, anakuzidi wewe kuwa humu, sema hujamuelewa, anapambana na huyo choko anayeitwa choicevariable, huyu
ChoiceVariable haeleweki anataka nn, anaponda miradi yote ya Magufuli lkn kuna wakati anasifia, sasa unamchukuliaje mtu kama huyo? Yeye yupo humu kwa ajili ya kumponda Magufuli tu na sio kitu kingine.
Kwanza kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui huyo choicevariable alikuwa anaiponda Tanzania enzi zile za Magufuli, ningekuona haupo biased kama ungeanza na choicevariable na sio mzalendo
ichoboy01