Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu mna haribu sasaa..

Hao kenge wa North wanatuchora tu hapa.. Wako pembeni wanachungulia mnavyovuana nguo..

Kwao ni raha, maana wana pata pa kutushika... Wanachopenda wao ni kujitenga na chuki... Tuikatae hiyo roho kwenye huu uzi.
Ngoja tuache tugange yanayoendelea.

Kimsingi Kundustan hawana hata mradi mmja wa kuonesha humu zaios ya mipasho ya malls na vijengo vya Nairobi 🤣🤣
 
Watu wanapongeza sgr wanasahau magu alikuwa kanunua mabehewa used Leo mtu kachukua vitu brand new kwa gharama ya chini ya Yale mabehewa yaliyotumika tuliyonunua mara mbili ya gharama ya mapya
Guys. Hebu achaneni na mjadala huo. Mnaonekana watoto sasa. As long as Magu hayupo what is your problem? Miaka 4 imepita bado umejaza upepo kwenye nafsi yako. Ni upumbavu huo.
 
1730718720868.png
 
History shall remember the weight of actions, not the transient nature of titles
I am not talking about history. I am talking about national protection. The Nation Protects only the current leader, if you are not a leader now you are not the current interest of the Nation. Na kuwa kiongozi means title.

CHUKUA SOMO HILO
Ndio maana kunavijana wanajaribu kujitutumua wanaishia kuning'inia.
 
Back
Top Bottom