Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi ilikuwaje unaingiziwa Hela labda ya kukamilisha mradi mwezi wa kwanza mnaanza ujenzi kabla hamjamaliza mwezi wa sita tarehe 30 fedha zote hasa toka serikali kuuu zilikuwa zinarudi na basic Tena ndo imeishia hapo. Kwani zile Hela zilikuwa zinaenda wapi, sio hizo pesa ambazo Sasa hivi majaliwa anatumbua watu kama Ile ya ubungo na mpimbwe hizo Hela zote ni kipindi Cha mwendazake ila ukiwaambia wafuasi wake kuwa bosi wao alikuwa fisadi ni vita
Lete ushahidi wa hizi tuhuma.
 
Kama ingejengwa ingekua ni jointed rail na ya diesel locomotives kams Kenya.
Maana mpango wa SGR ulikua wa East Africa na ilikua ijengwe kote kama iliyojengwa Kenya.
Ila Magufuli ameleta utofauti anafaa apongezwe.
Samia ni kama Kikwete huwa hawajui kitu kinaitwa ufanisi.
Ona hata viti vya EMU vilivyowekwa ushuzi mtupu.
Kikwete amekiri hili baada ya kumtwanga spana huko twitter. Amekiri kwenye intavyuu na Idrisa kuwa yeye hakuwa na uwezo wa kuanzisha ya umeme. Kwa umeme upi kwanza, na akili zipi?

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1841633931545690420
 
Kama ingejengwa ingekua ni jointed rail na ya diesel locomotives kams Kenya.
Maana mpango wa SGR ulikua wa East Africa na ilikua ijengwe kote kama iliyojengwa Kenya.
Ila Magufuli ameleta utofauti anafaa apongezwe.
Samia ni kama Kikwete huwa hawajui kitu kinaitwa ufanisi.
Ona hata viti vya EMU vilivyowekwa ushuzi mtupu.
Mkuu
Lete ushahidi wa hizi tuhuma.
Malipo ya serikali yanafanyika kivipi Sasa hivi ,soma ripoti ya ukaguzi 2021/2022 uone mabehewa yalivyopigwa kipindi Cha jamaa yako
 
Waziri ni kama mkuu wa kitengo tu Hana influence yoyote kwenye kuelekeza maendeleo ya zaid ya raisi Sasa ikawaje barabara alizojenga magu akiwa raisi ziwe mbovu wakati alikuwa mfuatiliaji?
Bro embu ongea kwa utimamu bana.
Waziri wa wizara husika ndio msimamizi na mkaguzi rais ni mpitishaji na mtoa amri.
Embu nitajie barabara gani hiyo ambayo ilijengwa kipindi cha Magufuli halafu ikawa mbovu!?
Embu itaje.
 
Waziri msimamizi wa hizo barabara alikuwa nani?
W
Report ya CAG baada ya kufa Magu ilichezewa makusudi. Report.ya CAG baada ya kufa Magu kuna upigani mkubwa, nini kimefanyika so.far dhidi ya huo upigaji?
Hiyo ni ripoti ya kwanza chini ya Samia ambapo hata ununuzi wa mabehewa ulizidi mara mbili ya gharama .
Hapo Kuna Yale mabehewa used toka Denmark ambayo mpaka Leo yamefika sita tu
 
Kwenye ufanisi tueleze barabara unayoijua weye aliyojenga magu akiwa raisi ambayo Iko katika standard za kimataifa Mimi nakupa ya kikwete iyovi- mafinga miaka zaid ya 10 Bado Haina mashimo
1)Kwani Kibaha highway nani kajenga!?
Barabara za Dar nani kaziboresha!??
Tizama barabara ya Ubungo kuanzia ubungo interchange hadi kuungana na kimara-kibaha highway nani kajenga zile kama sio Magufuli!??
Unaleta suala la ufanisi wa barabara ushindanishe na Magufuli!?
Utafeli bro.
 
Bro achana na uyo jamaa anaongea Kwa mihemko nadhani Kuna tatizo lilimpata na ao wanaoponda ndio tulikuwa tunawashuhudia wanatuwekea Hadi link za live hapa uzinduzi na baadhi ya miradi iliyokamilika
 
Back
Top Bottom