Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninasubiri jibu la kuhusu master plan ya jiji la Nairobi. Kisha tutaendelea. Hapa ni kutoa jibu la picha au reference document.

Ukisema kwa maneno tu haina maana yoyote. Hata mimi hapa ninaweza kukuambia ni tajiri kuliko Dangote. Lakini kukiwepo na evidences ndio tunajua.
Kwenye Jiji Utakalo lileta Tanzania huduma Gani kati ya Hizi hazitakuwepo kabisa kwenye Jiji Lako!?


 
Mkuu kwanza utambue kabisa ubungo basi terminal ilikuwa chini ya manispaa ya ubungo na kama alikuwa ni kinjekitile ngwale ndio alipata tender ya ukusanyaji ushuri hakuwa na uwezo wa kujenga choo maana haikuwa Mali yake na ingekuwa ni kinyume na mkataba.
Kwa ushauri fuatilia ripoti ya mapato kwa manispaaa ya ubungo kwa kipindi chote utakuta taarifa ya mapato yatokanayo na ushuru wa stendi yalikuwa yanasoma. Sasa kama yalikuwa yanasoma ikawaje yasome ubungo wakati kinje alikuwa amemilikishwa. Walau ungesema kuwa hakukuwa na open tender ya kumpata mzabuni ungeeleweka .
Have you ever wondered why I don't argue with subpar on here? The answers you came up with are the real reasons why I don't bother with your likes.
 
Back
Top Bottom