Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Kukwama kwa trains zenu ni mambo ya kawaida sijui mbona unashangazwa😂😂🤣mchongoko umekwama jamaniii
![]()
KERO - Responded - Treni ya mchongoko Dar-Dodoma imeharibika porini toka saa 2 asubuhi kati ya eneo la Pugu na Soga
Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi. Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea. Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine wanashuka na kupanda boda; wanaenda wapi, sijui. Tangazo la TRC linasema mafundi wapo kazini. Chombo ni...www.jamiiforums.com
Kawaida kijana. Technology bado ni mpya na ndio tumeanza operation.
66 against Tanzanian 17Na advanced level schools mnazo ngapi vile?
Kinachokusumbua ni Lack of exposure na umaskini ulokaa nao tangu ukiwa mtoto.66 against Tanzanian 17
Unaumwa mavi! Tanzania una zaidi ya 1000 advanced level secondary schools!66 against Tanzanian 17
mabumbe.com
Asivyokuwa na Adani ,amemtaja Rais wao na dakika ambazo Huwa anatumia kubembeleza loan 😆😆With Kenya a leading loan taker!
Huyu kijana nyang’au nilimchukulia hana akili tangu aliporingishia viatu vibovu vya skating😎Kinachokusumbua ni Lack of exposure na umaskini ulokaa nao tangu ukiwa mtoto.
Unaokoteza tu chochote mtandaoni. Yaani mnajitengenezea tu! Kwanini msitengeneze chakula?
Toka lini nginja nginja ikaleta comfortability!?Kenyantrains are more comfortable than Tanzanian trains, wenye akili Tanzania washakubali hiyo mambo.
Na kama wao wanazo hizo shule 66 basi hilo gape lake ni mbingu na nchi. 😂😂Unaumwa mavi! Tanzania una zaidi ya 1000 advanced level secondary schools!
![]()
List of A level schools in Tanzania
Find Complete information about List Of A level schools in Tanzania, Advanced level Secondary Schools in Tanzania. orodha ya shule za sekondari kidato cha tano na sita.mabumbe.com