Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka tuanze na sekta gani kukujulisha ,yaani tuanze Wizara Moja Hadi nyingine tukimaliza tutakuja kuuliza matumizi ya Trilioni 56 za awamu ya 5.

Taja sekta ya kuanzia maana Kwa SSH. Miradi ni utitiri sio ya kutafutiza Kwa tochi au kuomba Ile Ile kama ya awamu ya 5.
nakuuliza swali nioneshe investments za 50 trillion in just 3 yrs 😂😂😂😂😂

kwamba tumekopa 50 trillion kwa ajili ya investmenta in just 3 good yrs yani over 20b usd alooo aiseee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Na Mimi nakuuliza swali,unataka tuanze na sekta gani?
 
investment gani ya hzo 50 trillion in just 3 good years 😂😂😂😂😂😂

na bado kuna tozo kila kona, sijui makato ya REA, makato ya majengo from 1000 to 1500, etc
Huu ni utoto sasa. Unataka tuanze kujadiliana kitu kilekile tu bila hitimisho?
BOT wananunu kila mwaka 6t za dhahabu kwaajili ya national reserve. Bei ya gram moja ya dhahabu ni Tsh 239,966.76.
Niambie hiyo ni pesa ngapi?
 
nimemaliza bro wacha tuendelee kushangilia 😂😂🙌🏻🙌🏻
 
Nadhani umeanza kuwa adui wetu. Umegeuka ugeukia upande wa wakenya. Nitakupiga sindano mpaka unyooke. Sipendi upumbavu kwenye battle mimi.

Nenda kajadiliane haya mambo yako ya kipumbavu kwenye majukwaa yanayohusika. Hapa tupo kwenye battle.

Ondoa upumbavu Tunapokuwa kwenye vita askari akigeuka anakula shaba chap.
 
  1. BRT Phase III and Phase IV, Phase V ipo njiani umetoa wapi pesa?
  2. Upanuzi wa bandari ya Tanga umetoa wapi pesa?
  3. Project ya Matank ya kuhifadhia mafuta kigamboni umetoa wewe pesa
  4. Mabwawa ya umwagiliaji nchi nzima umetoa wewe pesa
  5. DMDP Phase II umezitoa wewe pesa?
  6. Ujenzi unaoendelea Phase II ya Magufuli City umetoa wewe pesa.
  7. Ujenzi wa Kigongo Busisi umetoa wewe pesa
  8. Mradi wa Msongo wa kV 400
Hiyo kwa uchache tu.
nenda kapitie na hapa ujionee

kaka upanuzi wa bandari ya tanga ulifanyila kipindi cha magufuli na bandari ya mtwara 😂😂😂😂😂

View: https://x.com/jamiiforums/status/1156885562789421059?s=46

kigongo busisi ilianza kipindi cha magu pia 50/50

😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Nadhani umeanza kuwa adui wetu. Umegeuka ugeukia upande wa wakenya. Nitakupiga sindano mpaka unyooke. Sipendi upumbavu kwenye battle mimi.

Nenda kajadiliane haya mambo yako ya kipumbavu kwenye majukwaa yanayohusika. Hapa tupo kwenye battle.

Ondoa upumbavu Tunapokuwa kwenye vita askari akigeuka anakula shaba chap.
hapa hatuongelei uadui hapa tunaongea facts mzee mambo ya uadui sijui mwanaume au mwanamke hapa hayana nafasi 😂😂😂😂

leta hoja kwa dalili au tuendelee kushangili kama kawaida 😂😂😂😂
 
kaka upanuzi wa bandari ya tanga ulifanyila kipindi cha magufuli na bandari ya mtwara 😂😂😂😂😂

View: https://x.com/jamiiforums/status/1156885562789421059?s=46

kigongo busisi ilianza kipindi cha magu pia 50/50

😂😂😂😂😂😂😂😂

Ndege kwa sasa zipo ngapi? Kama ndege hizo ndogo ndogo tu cost yake ni 1.8.

Sasa hivi tuna ndege kubwa nyingi nza ya mizigo ndege 16 na zingine tatu zinaingia next year. Tuambie kwaupande wa ndege cost yake ni how much?
 
hapa hatuongelei uadui hapa tunaongea facts mzee mambo ya uadui sijui mwanaume au mwanamke hapa hayana nafasi 😂😂😂😂

leta hoja kwa dalili au tuendelee kushangili kama kawaida 😂😂😂😂
Tayari wewe ni adui yangu. I am here to protect national interest siyo upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom