Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaumwa mavi! Tanzania una zaidi ya 1000 advanced level secondary schools!

Tunaongelea Universities nguruwe wewe. Hata Secondary schools Kenya has more than Tanzania.

Kenya has more than 10,000 Secondary Schools.
 
Na wewe toa ujinga wako hapa,hizo takwimu ziko WB na IMF.

Ndio maana nimekwambia una shida ya ugonjwa wa akili,wahi mirembe Samia ameiboresha na Kuipandisha Hadhi kuwa hospital ya Taifa ya magonjwa ya akili na wateja ndio kama wewe Sasa .

WB data 2023 👇👇View attachment 3142425View attachment 3142426
alaf deni trillion 100 😂😂😂😂

from 56trillion to 100 trillion in just 3 yrs
 
Unaongea kama standard 2 😁😁😁😁

Kila mwaka Serikali Huwa inakuja na Mpango na Muongozo wa maandalizi ya Bajeti kuelekea disemba.

I wonder hivi wewe hapo hasa unachoelewa ni kipi kwenye masuala ya Uchumi na management yake? Naona Kila unachoongea unatoa Boko 😆😆.

Hata yakigonga 200trilion Kuna tatizo kwani?

Vipi tena hiyo 56T imetoka wapi wakati mlisema mnajenga Kwa pesa zenu na hamkopi? 🚮🚮🚮

Cheki hapa implementation ya Bajeti ya 2023/2024 hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==

Mwisho, Bajeti ya SSH ya mwaka 2025/26 ni mara 2 ya Bajeti ya Mwendazake ya 2020/21.

Extra ordinary performance

watu wanataka uhalisia sio budget ambayo haipo, watanzania wanataka kuona sukari ikuuzwa 1500 per kg, watanzania wanataka kujua kwann meli ya mafuta inashusha mafuta mwezi mzima alaf damage wanalipa walipa kodi kwa uzembe ambao wachache wanasababisha , watanzania wanataka kujua nchi ambayo wamepita viongozi 5 walikopa 56trillion isipokua miaka mitatu mitakatifu deni limefika 100trillion, watanzania wanataka kujua kwann umeme haujapungua bei ilihali umeme asilimia zaidi ya 70 unatokana na maji, watanzania wanataka kujua kwann tozo za simu ziko pale pale na bado kuna kodi juu yake ? watanzania wanataka kujua phase 3 and 4 za SGr zimefkia wapi mpaka sasa??? kuna mengi sana watanzania wanataka kujua 😂😂
 
Kina kipchichir njooni hapa muangalie 👇
 
Ukiambiwa onyesha huo ufisadi huna majibu.

Unadhani Hadi treni inatembea mliacha pesa? 😆😆😆😆

Unadhani ujenzi wa viwanja 16 vya ndege vinatumia kamasi zenu?

Unadhani ujenzi wa Bandari,kupanua Bandari vyote hivyo vinatumia mikojo?

Unadhani hapo Dar kote ni construction site wanatumia nini?

Ujenzi wa Vyuo Vikuu Kila Mkoa ni mavi yanatumika sio pesa?

Majungu baada ya kufunika ligacy 😆😆👇👇View attachment 3142682
hapa hatuongelei mwanamke wala mwanaume hapa tunaongelea trillion 50 zilizokopwa 3 good yrs zimetumika kwenye maendeleo gani ??? watanzania kuna mengi wanataka kujua
 
mchongoko umekwama jamaniii
hatutakiwi kusema kaka tunatakiwa tunyamaze kimya au vipi kakaChoiceVariable 😂😂
 
Kama umesoma ambo ya uchumi utajua haya mawili.
Sisi tunakopa kwaajili ya Capital Expenditure Loan

Wao wanakopa kwajili ya Working Capital Loan

Ni mbingu na ardhi.
nimekwambia njia tunayoenda nayo ni ile ile waliopita hakuna tofaut 😂😂😂😂

hata wao kabla hawajafila kwenyw anguko walikua kama sisi
 
Back
Top Bottom