Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaona flyover zinajengwa kila kona Dar na unakenua mimeno yako tu. Unadhani zinajengwa kwa kutumia mapambio?

Unaona ndege zinanunuliwa kila siku unadhani zinatumia makaratasi?

Treni za umeme zinaigizwa kila siku unadhani tunapewa msaada?

Investment kubwa za kilimo zinaendelea pesa zinatoka wapi?

Ujenzi wa viwanja vya ndege pesa zinatoka wapi?

Ujenzi wa Hospital pesa zinatokwa kwako?

Ujenzi wa madaraja kila kona ya nchi unalipa wewe?

Meli zinazojengwa kwenye maziwa yote ya Tanzania unatoa pesa wewe?

ACHENI AKILI ZA KIJIMA

Nyie ndio wapinga maendeleo. Mnataka vitu vizuri lakini hamtaki kutoa pesa kwenye tax. Wapi Nchi itapata pesa kujijenga?
Kuna flyover yoyote imejengwa kwenye Nchi hii toka 2021 mpaka sasa hivi!??
 
Hizi ndo hoja za kubebwa na upinzani lakini wao wanakomaa na JPM ambaye hawezi gombea tena uongozi
Kwani kuna kiongozi aliyeharibu jina la Nchi hii kimataifa zaidi ya Magufuli!? Yani huyo jamaa ametufanya Leo ukienda Nchi jirani wanakuona Kama Mrundi,Mnyarwanda au Mcongo tu

JIWE anapaswa kusomewa makosa yake ata akiwa wapi

KAMA HUWEZI KUSAMEHE BASI LIPA KISASI
 
Ondoa ushamba wako wa Kingunge Ngombale Mwilu hapa. Wacongo siyo watu?

PUMBAVU ZAKO
 
We jinga sana na nina wasiwasi kuwa haupo Dar,Uhasibu na Chang’ombe ziliachwa awamu ya tano
Ziliachwa lini? Mliacha na pesa?

Hizo Sgr na treni zinatembea mliacha ana pesa?

Ndege karibia zote zimekuja mliacha pesa?

Madaraka yote yaliyomalizika na ambayo Yako Mbioni kukamilika kama la Kigongo mliacha bei gani za kujengea?

Bwawa la Nyerere lililokuwa 30% ,mliacha bilini ngazi Ili zimalizike?

Mikoa 3 imeunganishwa na grid ya Umeme unadhani ni kamasi zenu zinafanya?

Serikali inajenga Taza,inajenga mradi wa umeme Kishapu ,inajenga mradi wa Malagarasi,inajenga mradi wa Kakono kote huko unadhani ni mikojo ya wake zenu inalipa? 😂😂🤪

Mwisho ,nimewataka mtaje sekta Kwa sekta,tuanze ipi Hadi ipi maana hamjui chochote zaidi ya kuropoka Kwa msingi wa chuki.
 
Nina wasiwasi sana na uelewa wako,kaa chini pitia ulichoandika mara ya pili halaf ujipige kifua useme hivi

“Mimi ni Mpumbavu sana”
 
Nina wasiwasi sana na uelewa wako,kaa chini pitia ulichoandika mara ya pili halaf ujipige kifua useme hivi

“Mimi ni Mpumbavu sana”
Jibu swali mliacha pesa? Si unauliza kazi ya Trilioni 50? Miaka 6 hakuna mradi hata mmja mlikamlilsha na yiet mumemuachia Samia Iko chini ya 40%,Je Trilioni 56 mlizokopa mlifanyia nini? Justification yake ni kuanzisha hiyo miradi inayohesabika?

Maana Trilioni 50 za SSH zimekamilisha miradi ya Mwendazake na kuanzisha utitiri wa mingine in less than 4 years.
 
Tunakopa kwaajili ya Investment. Usitudhalilishe kwa kutulinganisha na nchi maskini kama kenya ambayo haina Resources wala future.

Nikuulize maswali.
Unataka kujenga Gold refinery utapata pesa wapi?
Gold refinery hata kama tutajenga kwa kukopa lakini in future italeta faida.

Je, wapi tumekopa kwaajili ya Operational Expenditure?

Tunakopa kwaajili upanuzi wa bandari, tunakopa kwaajili ujenzi wa reli.
Mzee leta explanation za kisomi achana na cheap propaganda.
investment gani ya hzo 50 trillion in just 3 good years 😂😂😂😂😂😂

na bado kuna tozo kila kona, sijui makato ya REA, makato ya majengo from 1000 to 1500, etc
 
investment gani ya hzo 50 trillion in just 3 good years 😂😂😂😂😂😂

na bado kuna tozo kila kona, sijui makato ya REA, makato ya majengo from 1000 to 1500, etc
Unataka tuanze na sekta gani kukujulisha ,yaani tuanze Wizara Moja Hadi nyingine tukimaliza tutakuja kuuliza matumizi ya Trilioni 56 za awamu ya 5.

Taja sekta ya kuanzia maana Kwa SSH. Miradi ni utitiri sio ya kutafutiza Kwa tochi au kuomba Ile Ile kama ya awamu ya 5.
 
Tunakopa kwaajili ya Investment. Usitudhalilishe kwa kutulinganisha na nchi maskini kama kenya ambayo haina Resources wala future.

Nikuulize maswali.
Unataka kujenga Gold refinery utapata pesa wapi?
Gold refinery hata kama tutajenga kwa kukopa lakini in future italeta faida.

Je, wapi tumekopa kwaajili ya Operational Expenditure?

Tunakopa kwaajili upanuzi wa bandari, tunakopa kwaajili ujenzi wa reli.
Mzee leta explanation za kisomi achana na cheap propaganda.
investment gani ya 50 trillion in just 3 yrs ?

wakat bado kuna tozo kila kona, sijui REA kwenyw mafuta na umeme bado kodi ya majengo from 1000 to 1500 etc

kaka tuendelee kushangilia tu 😂😂🙌🏻🙌🏻
 
Back
Top Bottom