Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

All Kunyan banks combined hazifiki 5% ya the whole market ya Banking sector in Tanzania! As a matter of fact KCB Bank ime-make profit after 20 years!
Assets za Equity Bank alone are more than total assets of Top 20 Banks in Tanzania.
 
All Kunyan banks combined hazifiki 5% ya the whole market ya Banking sector in Tanzania! As a matter of fact KCB Bank ime-make profit after 20 years!
Sawa Methuselah.

1730641273815.jpeg
 
Sawa yeye hiyo 54trillion ametumia wapi ufisadi wa awamu hii utavunja rekodi
Ukiambiwa onyesha huo ufisadi huna majibu.

Unadhani Hadi treni inatembea mliacha pesa? 😆😆😆😆

Unadhani ujenzi wa viwanja 16 vya ndege vinatumia kamasi zenu?

Unadhani ujenzi wa Bandari,kupanua Bandari vyote hivyo vinatumia mikojo?

Unadhani hapo Dar kote ni construction site wanatumia nini?

Ujenzi wa Vyuo Vikuu Kila Mkoa ni mavi yanatumika sio pesa?

Majungu baada ya kufunika ligacy 😆😆👇👇
20241103_164303.jpg
 
Back
Top Bottom