Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimekwambia njia tunayoenda nayo ni ile ile waliopita hakuna tofaut 😂😂😂😂

hata wao kabla hawajafila kwenyw anguko walikua kama sisi
Tunakopa kwaajili ya Investment. Usitudhalilishe kwa kutulinganisha na nchi maskini kama kenya ambayo haina Resources wala future.

Nikuulize maswali.
Unataka kujenga Gold refinery utapata pesa wapi?
Gold refinery hata kama tutajenga kwa kukopa lakini in future italeta faida.

Je, wapi tumekopa kwaajili ya Operational Expenditure?

Tunakopa kwaajili upanuzi wa bandari, tunakopa kwaajili ujenzi wa reli.
Mzee leta explanation za kisomi achana na cheap propaganda.
 
😂😂😂😂😂😂

yani wamepita viongozi watano wamekopa 54 trillion, sasa hvi deni ni 100trillion in just 3 good years yani almost half ya kile kilichokopwa na marais watano
Hizi ndo hoja za kubebwa na upinzani lakini wao wanakomaa na JPM ambaye hawezi gombea tena uongozi
 
haya kaka nasema tuendelee kusifia tu hakuna shida 😂😂😂
Umeanza kuwa kama wakenya sasa. Unaropoka tu bila context.
Weka maelezo ya kiuchumi hapa. Siyo mbwembwe za wakenya.

Nimekupa maelezo ya kisomi halafu wewe unaleta siasa uchwara za CHADEMA. Cheap propaganda.

How can you utilize your resources ukijifungia tu. Huna sustainable tax base. Utafanyaje?

Ujinga wa kukaa na madini ardhini wakati huna teknoloji ulishapitwa na wakati. Unataka tuchimbe madini kwa jembe?
 
Tumefanya investment gani mpaka Sasa zinazofika thamani ya trillion 50 Kwa hii miaka mitatu?
  1. BRT Phase III and Phase IV, Phase V ipo njiani umetoa wapi pesa?
  2. Upanuzi wa bandari ya Tanga umetoa wapi pesa?
  3. Project ya Matank ya kuhifadhia mafuta kigamboni umetoa wewe pesa
  4. Mabwawa ya umwagiliaji nchi nzima umetoa wewe pesa
  5. DMDP Phase II umezitoa wewe pesa?
  6. Ujenzi unaoendelea Phase II ya Magufuli City umetoa wewe pesa.
  7. Ujenzi wa Kigongo Busisi umetoa wewe pesa
  8. Mradi wa Msongo wa kV 400
Hiyo kwa uchache tu.
nenda kapitie na hapa ujionee

Unapoteza mda kujibu hao Wafuasi wa Mwendazake,waulize wanajua miradi yeyote kwenye Kilimo uone kama watakujibu zaidi ya kuropoka tuu humu
 
  1. BRT Phase III and Phase IV, Phase V ipo njiani umetoa wapi pesa?
  2. Upanuzi wa bandari ya Tanga umetoa wapi pesa?
  3. Project ya Matank ya kuhifadhia mafuta kigamboni umetoa wewe pesa
  4. Mabwawa ya umwagiliaji nchi nzima umetoa wewe pesa
  5. DMDP Phase II umezitoa wewe pesa?
  6. Ujenzi unaoendelea Phase II ya Magufuli City umetoa wewe pesa.
  7. Ujenzi wa Kigongo Busisi umetoa wewe pesa
  8. Mradi wa Msongo wa kV 400
Hiyo kwa uchache tu.
nenda kapitie na hapa ujionee

Kwaiyo ndo trillion 50?
 
Wakenya wasione hii wataanza kutafuta gold popote duniani waje wauzie BOT, tutawaambia wakale walipopeleka mboga, hapa tunanunua za watanzania pekee, zao wakamuuzie Ruto wagawane pasu kwa pasu na tena Ruto atawapiga 50% kama kodi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tumefanya investment gani mpaka Sasa zinazofika thamani ya trillion 50 Kwa hii miaka mitatu?
Unaona flyover zinajengwa kila kona Dar na unakenua mimeno yako tu. Unadhani zinajengwa kwa kutumia mapambio?

Unaona ndege zinanunuliwa kila siku unadhani zinatumia makaratasi?

Treni za umeme zinaigizwa kila siku unadhani tunapewa msaada?

Investment kubwa za kilimo zinaendelea pesa zinatoka wapi?

Ujenzi wa viwanja vya ndege pesa zinatoka wapi?

Ujenzi wa Hospital pesa zinatokwa kwako?

Ujenzi wa madaraja kila kona ya nchi unalipa wewe?

Meli zinazojengwa kwenye maziwa yote ya Tanzania unatoa pesa wewe?

ACHENI AKILI ZA KIJIMA

Nyie ndio wapinga maendeleo. Mnataka vitu vizuri lakini hamtaki kutoa pesa kwenye tax. Wapi Nchi itapata pesa kujijenga?
 
Kwaiyo ndo trillion 50?
Tanzania inanunua 10t za dhahabu ili kuziweka kwenye Reserve. piga hesabu 10t ni Shilingi ngapi?

Bei hii hapa ya gram moja

1730659479234.png
 
Back
Top Bottom