Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni Ligi mbili Tofauti
Hii ni Kenya


View: https://www.instagram.com/reel/DB4Jg5UJ_Q0/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Na Hii ni Ligi ya Tanzania
Du Naona kabisa Wenzetu Bado sana Aisee


View: https://www.instagram.com/reel/DByb_7uphH8/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

Nilichoona mimi league ya Ukunyani inaendeshwa kwa hisani ya Azam TV la sivyo ingejifia! Kingine miundombinu mibovu kwanza ukiangalia hizo clips mbili league ya Tanzania inachezwa usiku nyingine mchana na uwanja hauna uwezekano wa ku-host mechi za usiku! Kufananisha hizi league mbili ni kuwaonea na kutowatendea haki Wakunya maana ni mbingu na dunia!
 
Unaongea kama standard 2 😁😁😁😁

Kila mwaka Serikali Huwa inakuja na Mpango na Muongozo wa maandalizi ya Bajeti kuelekea disemba.

I wonder hivi wewe hapo hasa unachoelewa ni kipi kwenye masuala ya Uchumi na management yake? Naona Kila unachoongea unatoa Boko 😆😆.

Hata yakigonga 200trilion Kuna tatizo kwani?

Vipi tena hiyo 56T imetoka wapi wakati mlisema mnajenga Kwa pesa zenu na hamkopi? 🚮🚮🚮

Cheki hapa implementation ya Bajeti ya 2023/2024 hapa 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DB3WbLEPJ-s/?igsh=MXFrbnI1MWVvbTYwaQ==

Mwisho, Bajeti ya SSH ya mwaka 2025/26 ni mara 2 ya Bajeti ya Mwendazake ya 2020/21.

Extra ordinary performance

Sawa yeye hiyo 54trillion ametumia wapi ufisadi wa awamu hii utavunja rekodi
 
Acha ujinga behewa moja kwenye treni haifanyi your train kuwa top class it is still nginjanhinja with no AC and takes longer to reach its destination.
Kenyantrains are more comfortable than Tanzanian trains, wenye akili Tanzania washakubali hiyo mambo.
 
Kenyantrains are more comfortable than Tanzanian trains, wenye akili Tanzania washakubali hiyo mambo.
Leo nimepita Dodoma Bus Stand. Mambo ni mazuri sana. Very Clean

1730638082093.png


1730638097990.png
 
Back
Top Bottom