Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Evidence?
Here it is, can you see the AVA logo and below it “Built in Kenya”😂😂😂👇👇

1730464318994.jpeg
 
Na mjue hizi bus zimenunuliwa kwa mkopo kutoka Kenya, mkishindwa kulipa zinachukuliwa😂🤣

1730464465151.jpeg
 
Wambie wakuonyeshe stand ya basi hata moja
Hawa tuliwahi bishana kuhusu miradi ya umeme ya Kenya versus tanzania kwa kuoroshesha wakawa wanakimbilia data za mitandaoni bila uhalisia wa vilivyopo kwa ground, hawana lolote zaid ya kujishaua . Hata tukileta wakenya versus watanzania waliowekeza nje ya nchi zao wataleta issue za kcb equity ambazo Kuna wazungu kibao wamewekeza
 
Nimeuliza SCANIA & MARCOPOLO ni your companies jibu?
Nani alisema hizo ni brands za Kenya? Kitu tunajivunia hapa ni kwamba the body was built in Kenya, chassis was assembled in Kenya. Kila kitu ilifanywa Kenya kisha watanzania wakanunua kwa mkopo😂😂
 
Back
Top Bottom