Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As long nyinyi master wa kupika hamtakiwi hata kuongea na Tanzania kama Nairobi tu population ya almost 60 % wanaishi kwenye matope na dar es salaam is twice the size na population lakin watu hawana slums
The only statistics chefs known in East Africa is Tanzania. Ama unasahau World Bank and IMF onced exposed Tanzania for cooking data?😂😂🤣😂
 
Si uandikize zako ulete huku, naona hata hii pia nimeandika mimi😂😂🤣👇👇

Leta miradi acha kutuletea vijiripoti tunataka Leo tujadili uhalisia sio ripot
 
Si uandikize zako ulete huku, naona hata hii pia nimeandika mimi😂😂🤣👇👇

Nenda kadanganye wakenya wenzako. Tanzania ni nchi ya wasomi
Hizi ndizo taarifa za domain ya henleyglobal.com any person can create domain like this with only $10

1730462216892.png
 
Mbona usitengeneze zako?

I have so many.
Dalili ya kushindwa mjadala ni kuanza kurudia rudia isssue ambayo is not corrent.
Wewe leta Assets value ya nairobi unaogopa nini?
 
Baboon keep quiet

Hata mimi naweza tengeza taarifa zangu, zamani kipindi mnatumia hiz kwenye battle ndio mlitusumbua 😂😂😂 we know our country better.
 
Leo ni uhalisia hivi Kenya nzima mnaproject ngap za kuzalisha umeme Leo tuziorodheshe 🤣🤣🤣
Leo tunataka uhalisia sio cooked data
Are you aware 9.9M customers in Kenya are connected to electricity while Tanzania it’s only 3.5M? Are you aware of that?
 
Hata mimi naweza tengeza taarifa zangu, zamani kipindi mnatumia hiz kwenye battle ndio mlitusumbua 😂😂😂 we know our country better.
Kwani kuna mwenye amekuzuia kutengeneza? Tengeneza hiyo yako utuonyeshe😂😂🤣

Kwani kuna mwenye amekuzuia kutengeneza? Tengeneza hiyo yako utuonyeshe😂😂🤣

Umeishiwa Contents. vagabond kama nyie mnaumia bila sababu yoyote.
 
Back
Top Bottom