Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hakuna level ya Nairobi in East Africa. Hiyo Dar linganisha na Kisumu and Eldoret in terms of wealth.Tuongee kijana kuhusu Assets mbona unakimbia? UNAOGOPA?
Hakuna level ya Nairobi in East Africa. Hiyo Dar linganisha na Kisumu and Eldoret in terms of wealth.Tuongee kijana kuhusu Assets mbona unakimbia? UNAOGOPA?
Hawa tuliwahi bishana kuhusu miradi ya umeme ya Kenya versus tanzania kwa kuoroshesha wakawa wanakimbilia data za mitandaoni bila uhalisia wa vilivyopo kwa ground, hawana lolote zaid ya kujishaua . Hata tukileta wakenya versus watanzania waliowekeza nje ya nchi zao wataleta issue za kcb equity ambazo Kuna wazungu kibao wamewekezaUkimpatia Teargas serious discussion anakimbia. Wamezoea kwenye mitandao yao kutukanana na kutishana ovyo.
Hawezi kugusa hii topic ya Assets mpaka kiyama. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Build in Kenya. Usipofurahishwa nenda ukajinyonge😂😂Marcopolo is a Brazilian Company
Sacania Swedish Company
Comedy kama kawaida yako 🤣🤣🤣🤣🤣
Sisi tunazo buses nyingi mara zaidi ya 100 idadi ya buses mlizonazo na wala hatupost humu kila siku 😂😂😂 wewe ni juha haswaa.
Pamoja wa assembly kufanyika kwao wameshindwa kuyanunua zaid ya wabongo kununua , actually soko kubwa la Marco polo ni tanzaniaMarcopolo is a Brazilian Company
Sacania Swedish Company
Comedy kama kawaida yako 🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzanian shouod not talk about electricity as long as 60% of Tanzanians still live in darkness😂😂🤣😂Hawa tuliwahi bishana kuhusu miradi ya umeme ya Kenya versus tanzania kwa kuoroshesha wakawa wanakimbilia data za mitandaoni bila uhalisia wa vilivyopo kwa ground, hawana lolote zaid ya kujishaua . Hata tukileta wakenya versus watanzania waliowekeza nje ya nchi zao wataleta issue za kcb equity ambazo Kuna wazungu kibao wamewekeza
Mama Ngina Propaganda kama kawaida yako. Anybody can write this flyer. It has no truth. Even my child can make itHakuna level ya Nairobi in East Africa. Hiyo Dar linganisha na Kisumu and Eldoret in terms of wealth.
View attachment 3140538
Kwenue hizi list mbona kenya ni bora sana ila ground vitu vise versa. 😂😂😂Hakuna level ya Nairobi in East Africa. Hiyo Dar linganisha na Kisumu and Eldoret in terms of wealth.
View attachment 3140538
Buses zenye zimenunuliwa Kenya ama?😂😂🤣😂Sisi tunazo buses nyingi mara zaidi ya 100 idadi ya buses mlizonazo na wala hatupost humu kila siku 😂😂😂 wewe ni juha haswaa.
Andika yako utuonyeshe basi, hata kama hampendi ukweli bado ntazipost tu😂😂🤣Mama Ngina Propaganda kama kawaida yako. Anybody can write this flyer. It has no truth. Even my child can make it
Ground gani? Wewe baboon ushaifika hata namanga?Kwenue hizi list mbona kenya ni bora sana ila ground vitu vise versa. 😂😂😂
Nikikuomba upost asset za Naipori utapost nini chenye thamani kando ya gorofa.? 😂😂Ground gani? Wewe baboon ushaifika hata namanga?
NIfurahishwe na vitu vya uongo. Unaandika kujifurahisha mwenyewe na unajua unaandika uongo.Build in Kenya. Usipofurahishwa nenda ukajinyonge😂😂
I don’t have time to prove to poor baboons anything.Nikikuomba upost asset za Naipori utapost nini chenye thamani kando ya gorofa.? 😂😂
As long nyinyi master wa kupika hamtakiwi hata kuongea na Tanzania kama Nairobi tu population ya almost 60 % wanaishi kwenye matope na dar es salaam is twice the size na population lakin watu hawana slumsTanzanian shouod not talk about electricity as long as 60% of Tanzanians still live in darkness😂😂🤣😂
Posting Pamphlets kama kawaida yako 🤣 🤣 🤣 Any person can draft such Pamphlet.
Mwaka mzima Marco polo hawajafikisha hata units 40 walizouza kwa kenyaNIfurahishwe na vitu vya uongo. Unaandika kujifurahisha mwenyewe na unajua unaandika uongo.
WEKA ASSET VALUE YA NAIROBI
Ile umepost hii nonesense ili ufanye nini wewe zezeta la jf.?
Si uandikize zako ulete huku, naona hata hii pia nimeandika mimi😂😂🤣👇👇NIfurahishwe na vitu vya uongo. Unaandika kujifurahisha mwenyewe na unajua unaandika uongo.
WEKA ASSET VALUE YA NAIROBI