Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I thought ulisema nisipewe credit how come you are still replying to me? Ama wengine ndio hutaki wanijibu hili unijibu pekee yako? Hiyo ni uchoyo😂😂🤣😂
Usipewe airtime kwenye data za kupika zisizo na uhalisia, ila kujimilikisha na kujipa umhimu kwenye vitu vya watu. Big no.
 
Mombasa

1730466519802.jpeg
 
Usipewe airtime kwenye data za kupika zisizo na uhalisia, ila kujimilikisha na kujipa umhimu kwenye vitu vya watu. Big no.
Unasahau Tanzania ndio nchi pekee inajulikana kupika data?😂😂🤣😂
 
Tuoneshe body na chassis being built. Au unajua maana ya built hasa.

Wafunga nati wanajiita built?

Acha kuwa delusional kijana hakuna kitu cha Kenya hapo, eti body being built unajua hata kwanini inaitwa Scania MARCOPOLO emphasis on Marcopolo?
A knock-down kit (also knockdown kit, knocked-down kit, or simply knockdown or KD) is a collection of parts required to assemble a product. The parts are typically manufactured in one country or region, and then exported to another country or region for final assembly. CBU, on the other hand, stands for "Completely Built Up" and signifies import of a finished product.
Hata hakui hii kitu
 
Unataka turudi kwenye mada uliyoikimbia kwa kukosa data iliyopikwa?
Sikukimbilia. I showed you how World Bank and IMF exposed Tanzania for cooking data, now everyone knows that Tanzania is chief economic chef😂😂
 
The final product inatolewa na wakenya and that’s why it’s written built in Kenya. Wewe kama hupendi ama hugurahishwi basi me za wembe 😂😂🤣
Kila kitu kinatengenezwa nje wewe unafunga bolt kwa commission ambayo haifiki 10 % ya total MSRP price

A knock-down kit (also knockdown kit, knocked-down kit, or simply knockdown or KD) is a collection of parts required to assemble a product. The parts are typically manufactured in one country or region, and then exported to another country or region for final assembly. CBU, on the other hand, stands for "Completely Built Up" and signifies import of a finished product.

Hata sio cbu( completely built units sawa)
 
A knock-down kit (also knockdown kit, knocked-down kit, or simply knockdown or KD) is a collection of parts required to assemble a product. The parts are typically manufactured in one country or region, and then exported to another country or region for final assembly. CBU, on the other hand, stands for "Completely Built Up" and signifies import of a finished product.
Hata hakui hii kitu
Wafunga nati
 
Safaricom
Equity Bank
KCB
NCBA
Coop Bank
Safaricom ownership
Vodacom imebeba 40% ya shares huku serikali yenu ikiwa na 35, kwa hivyo Vodacom ambayo sio Kenyan company in kura ya turufu kuliko serikali yenu , Vodacom akisema simtaki teargas kuwa body member hata Ruto aingilie hawi

Our shareholding structure changed during the year and is currently comprised of the Government of Kenya (35 per cent), Vodacom (35 per cent), Vodafone (5 per cent) and free float (25 per cent). * Company holds an indirect interest in Safaricom through a wholly-owned subsidiary, Vodafone Kenya
 
Safaricom
Equity Bank
KCB
NCBA
Coop Bank
KCB Group Limited Stock Ownership
RankName of OwnerPercentage Ownership
1Permanent Secretary to the Treasury of Kenya19.76
2National Social Security Fund (Kenya)9.73
11Other Shareholders via the NSE, DSE, USE and RSE70.51
Total100.00

Zaid ya 70% inamilikiwa kupitia stock market nyingine kama dar stock market kwahiyo wenye kura turufu kwa asilimia 70 ni wageni nyinyi hamna Cha maana
 
Back
Top Bottom