concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,314
- 14,357
Halafu hawajui Tanzania inaijua Kenya kuliko hata wanavyoijua , Tanzania ikipelekea kusomesha sana watoto Kenya wakiwemo wapelelezi miaka ya 1990 tukawajua in and out ila wenyewe hawajui chochote kuhusu tanzaniaHata mimi naweza tengeza taarifa zangu, zamani kipindi mnatumia hiz kwenye battle ndio mlitusumbua 😂😂😂 we know our country better.