Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kubali tu huna bank account fukara hii😂😂🤣🤣👇👇Mimi naweza kukuonyesha pesa ambayo ninayo mkononi sasahiv, we utaweza kunionyesha.? 😂😂😂
Kubali tu huna bank account fukara hii😂😂🤣🤣👇👇Mimi naweza kukuonyesha pesa ambayo ninayo mkononi sasahiv, we utaweza kunionyesha.? 😂😂😂
Kigamboni Bridge (Nyerere Bridge) - $145 million
😂😂😂 ukijiona unaomba upewe ruhusa kazini, jua kuwa wewe si tajiri mzee ni mtumwa wa mtu, tafata pesa uachane nahayo maisha.Kwani tajiri haweziomba ruhusa? Who told you all wealthy people aren’t working under some people?
Mimi ni mtesi wako najua 😂😂😂 na hili ndio kimbilio lako ukiona umelemewa.
As long as pesa natengeneza kwa mwezi is more than your two year income mimi sina shida😂😂🤣🤣😂😂😂 ukijiona unaomba upewe ruhusa kazini, jua kuwa wewe si tajiri mzee ni mtumwa wa mtu, tafata pesa uachane nahayo maisha.
Tupatie value of Nairobi kijana. Naona unakimbi ovyo ovyo tu.
Kimsingi naweza kukulipa hiyo pesa ya kamshahara kako a month. 😂😂😂As long as pesa natengeneza kwa mwezi is more than your two year income mimi sina shida😂😂🤣🤣
Leta value of Nairobi kijana. Hii hapa ni Value of Dar es salaamAs long as pesa natengeneza kwa mwezi is more than your two year income mimi sina shida😂😂🤣🤣
Kinyerezi II Power Station: $432 million Tupatie value of Nairobi kijanaAs long as pesa natengeneza kwa mwezi is more than your two year income mimi sina shida😂😂🤣🤣
Nawewe unapoteza muda linganisha na asset za abood express kwa dar tu ni zaid ya nairobiNaona unanikimbia 🤣🤣🤣🤣👇👇👇
The Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) Phase II $438.3 million
Asset zilizopo Dar zina thamani sawa na kenya nzima.Kinyerezi II Power Station: $432 million Tupatie value of Nairobi kijana
Acha kutudhalilisha buana SEMA asset zilizopo mbagala buanaAsset zilizopo Dar zina thamani sawa na kenya nzima.
Maybe kwa ndoto. Ebu tuonyeshe your bank account tuone hata kama huko na Ksh500 huko fukara hii.Kimsingi naweza kukulipa hiyo pesa ya kamshahara kako a month. 😂😂😂
Unatuwekea picha ya kitu huwezipanda? Umezoea kupanda basi sababu huna uwezo😂😂🤣Kuna huyo mtu mzima mpumbavu Don YF aliwahi kusema hatuweza kuona hii treni ikifanya safari zake 😂😂 haya njoo huku uone vile sisi sio nyinyi. 👇🏾View attachment 3140532View attachment 3140533
Ukimpatia Teargas serious discussion anakimbia. Wamezoea kwenye mitandao yao kutukanana na kutishana ovyo.Asset zilizopo Dar zina thamani sawa na kenya nzima.
Tuongee kijana kuhusu Assets mbona unakimbia? UNAOGOPA?Unatuwekea picha ya kitu huwezipanda? Umezoea kupanda basi sababu huna uwezo😂😂🤣
Marcopolo is a Brazilian Company
Nikirudi Dar next week nikiwa natoka kahama nita share picha humu. Kesho narudi Geita, i will be there for around 3-4 days, then kahama then back to Dar es Salaam my second home. 😂😂😂Unatuwekea picha ya kitu huwezipanda? Umezoea kupanda basi sababu huna uwezo😂😂🤣