President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,013
- 93,380
Thank you.Unampa airtime bure.
Thank you.Unampa airtime bure.
Wakati Watanzania wanakula nyani na wengine wanakula kinyesi 😂😂🤣😂
Electric trains zenye zinakwama porini?😂😂🤣🤣
Jamaa anaumia sana. Ndio wakenya wote wako hivyo. Very bad behavior.Kamlilie mama ngina huko sio kulilia Watanzania
Yani mkiambiwa ukweli ni kulia?😂😂🤣😂 Treni zenu si zishakwama mara nane kwa msitu?😂😂🤣Kamlilie mama ngina huko sio kulilia Watanzania
Eti body parts are built in Kenya mnachofanya ni kufungua bolt tu Kila kitu kinakuja kwa box kikiwa maelekezo.Nani alisema hizo ni brands za Kenya? Kitu tunajivunia hapa ni kwamba the body was built in Kenya, chassis was assembled in Kenya. Kila kitu ilifanywa Kenya kisha watanzania wakanunua kwa mkopo😂😂
The final product inatolewa na wakenya and that’s why it’s written built in Kenya. Wewe kama hupendi ama hugurahishwi basi me za wembe 😂😂🤣Eti body parts are built in Kenya mnachofanya ni kufungua bolt tu Kila kitu kinakuja kwa box kikiwa maelekezo.
Tuoneshe body na chassis being built. Au unajua maana ya built hasa.Nani alisema hizo ni brands za Kenya? Kitu tunajivunia hapa ni kwamba the body was built in Kenya, chassis was assembled in Kenya. Kila kitu ilifanywa Kenya kisha watanzania wakanunua kwa mkopo😂😂
Mpumbavu sana. Watu wamenunua Scania yenye body from Marcopolo.Eti body parts are built in Kenya mnachofanya ni kufungua bolt tu Kila kitu kinakuja kwa box kikiwa maelekezo.
Final product ipi kijana zaidi ya kufunga nati?The final product inatolewa na wakenya and that’s why it’s written built in Kenya. Wewe kama hupendi ama hugurahishwi basi me za wembe 😂😂🤣
Haha eti akishindwa kulipa zirudishwe Kenya , hivi unajua hata utaraibu wa manunuzi wa scania.
I thought ulisema nisipewe credit how come you are still replying to me? Ama wengine ndio hutaki wanijibu hili unijibu pekee yako? Hiyo ni uchoyo😂😂🤣😂Tuoneshe body na chassis being built. Au unajua maana ya built hasa.
Wafunga nati wanajiita built?
Acha kuwa delusional kijana hakuna kitu cha Kenya hapo, eti body being built unajua hata kwanini inaitwa Scania MARCOPOLO emphasis on Marcopolo?
Buy Kenya Build Kenya, na sio basi pekee yake. Almost all 90% of Scania trucks in Tanzania comes from Kenya😂😂🤣😂.Haha eti akishindwa kulipa zirudishwe Kenya , hivi unajua hata utaraibu wa manunuzi wa scania.
Yaan nyinyi ni mahousegirl mnatengeneza halafu mabosi tunanunua . Yaan ni kama housemaid anapika chakula kwa ajili ya mabosi kula chakula
Anajua basi mpaka Leo toka wamepewa ufunga nati wameshindwa kununua units hata 30 wakati yutong tu kwa miezi sita anakimbikia units 200 kwa Tanzania tuMpumbavu sana. Watu wamenunua Scania yenye body from Marcopolo.
Kuna mfunganati anajipa umhimu kuliko wenye kampuni wenyewe kisa kastika ka garage ya kufunga nati?
Ava kafunga nati tu, ila panels zote zimekunjwa Brazil zikija kwa maboxBody built in Kenya by AVA. Sasa unaezalia zaidi after kugundua Katarama kanunua basi Kenya😂😂🤣
Zitaje ?Nairobi is 3x wealthier than Dar, are you aware of that? Are aware that top 20 biggest companies in East Africa are found in Nairobi? Are aware that most profitable companies in East Africa are found in Nairobi?
Hawana uwezo huo hata tukiomba individual terminal za mabasi hawana, wanapanga barabaranWambie wakuonyeshe stand ya basi hata moja