Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani kasema ni Msouth? Dada ni half Congolese half Rwandese. Alafu hakuna nchi Africa inayotumia neno hobo. Hiyo ni American slang na nchi za Africa including yourself saa zingine hutumia American slang kwa hivo argument yako haimake sense. Kubali nyinyi bongolala huwa na ugumu wa kukubali ukweli na chuki zenu. Kama huyu dada hangekuwa amemention uraia wake kwa profile yake mngekwamilia kabisa eti ni Mkenya lakini leo hamna pa kutokea. Muache kuwa ombaomba.
We mpuuzi, Americans kwa uelewa wangu wanatumia "unhoused neighbor".

Huu ujinga wa "hobos" ni wenu Wakenya.
 
Don’t joke na wenye wanapinga data yoyote that shows their weakness😂😂. Watakuletea habari ya Citizen TV leo na wewe ukiwaletea kesho wanakuambia ati mama ngina statistics. There’s no worse slavery than self denial😂😂
😂😂
 
🇹🇿🔥🔥Why Serengeti is such a vibe Why Serengeti is such a vibe
Screenshot_20241030-185724.jpg
 
Kumbe ndo role model wako kwikwi.
Halafu bahat mbaya sana watanzania Sasa hivi wanawaona nyinyi maskini tu mnaojikweza hata hatuna time nanyi🤣🤣🤣
Tanzanians are the poorest people in East Africa. Are you aware that 80% of Tanzanians are poor? Are you aware that 50% of Tanzanians are extremely poor?
 
Tukizibangua tunapita ,2trillion. Bashe fungua kongani ya viwanda vya korosho.
Kuna ujenzi wa viwanda kadhaa vya kubngua unaendelea lakini Kuna kubwa kuliko ya ujenzi wa kongani ya viwanda vya korosho Mtwara ,hii itatake time maana deadline ni by 2030 iwe mwisho wa ku export raw cashews.
 
Back
Top Bottom