NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
So what?Napitaga Durban kila nikija Africa.
So what?Napitaga Durban kila nikija Africa.
Endelea kulia. 😂😂😂Tanzania ikipostiwa popote mitandaoni lazima ukutane na comment's zao za chuki.
Wanaiogopa Tanzania. 😂😂😂
Huyu ni mpumbavu mwenzako wa kikenya, nice try.
Baada ya kuanza kumcrash akaenda badilisha bendera fastaHuyu ni mpumbavu mwenzako wa kikenya, nice try.
Sijawahi kuona hiyo kitu Mkenya mwenzio anasema. Yaani eti nyie anawaita hard workers!So what?
Hata Nairobi, Nakuru na Mombasa tunawaambia mmejazana mnaombaomba ila nyinyi wenyewe mnakana. Denial is something every Vumbistani is born with. 😂 😂Sijawahi kuona hiyo kitu Mkenya mwenzio anasema. Yaani eti nyie anawaota hard workers!
Lol 😂
Leteni video za hao watanzania walioko huko badala ya maneno. Maneno matupu bila evidenceHata Nairobi, Nakuru na Mombasa tunawaambia mmejazana mnaombaomba ila nyinyi wenyewe mnakana. Denial is something every Vumbistani is born with. 😂 😂
Halafu Durban hawatumii kabisa hii term "hobos". Huyu ni Mkenya mwenzenu.
Ulisema utaniprovia ni Mkenya. Mbona hujaprove? 😂 😂 😂Baada ya kuanza kumcrash akaenda badilisha bendera fasta
Hardworkers wanakimbilia kuwa wafanyakazi wa ndani Lebanon na kuwaachia wasomali wafanyebiashara NairobiSijawahi kuona hiyo kitu Mkenya mwenzio anasema. Yaani eti nyie anawaota hard workers!
Lol 😂
Hivi Kenya uliambiwa tunatumia Hobos? 😂😂Halafu Durban hawatumii kabisa hii term "hobos". Huyu ni Mkenya mwenzenu.
Durban huita homeless Singular: "Skoteni", plural: "AmaStokeni".
Mna shida sana Wakenya.
Nitamheshimu yule anayefanya kazi ya ndani kujikimu kuliko ombaomba 100%. 😂😂Hardworkers wanakimbilia kuwa wafanyakazi wa ndani Lebanon na kuwaachia wasomali wafanyebiashara Nairobi
Halafu Durban hawatumii kabisa hii term "hobos". Huyu ni Mkenya mwenzenu.Hivi Kenya uliambiwa tunatumia Hobos? 😂😂
Kule South Africa wazamiaji wa kikunya huwa wanajitambulisha kama Watanzania.Huyu ni mpumbavu mwenzako wa kikenya, nice try.
Kamuulize huyo dada. Ni yeye aliyetoa list. Hasira zako mpelekee. Usiletee Wakenya. 😂 😂Leteni video za hao watanzania walioko huko badala ya maneno. Maneno matupu bila evidence
Nilete mkongomani ambaye anaweza andika kiswahili hivi. And huu ni mwandiko wa mkenya hata upangaji wa maneno " unafikiri natokea sauza" completely Kenya accentHalafu Durban hawatumii kabisa hii term "hobos". Huyu ni Mkenya mwenzenu.
Durban huita homeless Singular: "Skoteni", plural: "AmaStokeni".
Mna shida sana Wakenya.
Na kisa Cha kujitambulisha hivyo wasouth wanawaheshimi sana watanzania kwa sababu ni more peacefully na tunapenda kujimix nao, hatujitengi na hatuna ubaguzi.Kule South Africa wazamiaji wa kikunya huwa wanajitambulisha kama Watanzania.
Tumeprove vizuri.Ulisema utaniprovia ni Mkenya. Mbona hujaprove? 😂 😂 😂
View: https://www.instagram.com/p/DBuK5I7NdnG/?igsh=cWdoZ2R0NHgyeW96
My Take: Ni kwamba ATCL wanaamini safari za Kimataifa ndio pekee zitawapa faida? Domestic demand ni kubwa ila hatuoni wakichangamka.
Nimekuuliza Kenya tunatumia hobos? 😂 😂Tumeprove vizuri.
👇
Durban hawatumii kabisa hii term "hobos". Huyu ni Mkenya mwenzenu.
Durban huita homeless Singular: "Skoteni", plural: "AmaSkoteni".