ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,434
- 88,520
Unataka kusafiri eti Hadi uweke booking ya wiki Moja kabla,mbaya zaidi unakuta viwanja vya ndani ATCL inaenda mara 3 badala ya Kila siku na Abiria wapo kama wote.Nakubaliana na wewe, zile q400 wanatakiwa waongeze kama sita halafu wajenge mini hubs mbeya, dodoma na mwanza, waweke hata mbili mbili tu halafu kuwe kuna direct flight kutoka miji hiyo kwemda miji mimgine direct, kwa mfano mwanza- mtwara, au mbeya- mwanza, dodoma-zanzibar na kadhalika.
Ili waweze kulitendea haki soko la domestic. Watu hela wanazo siku hizi za kupanda ndege.
Huko ni kutojielewa.