Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anajua mwenyew. Ngoja nimtunzie sirí. Maana anajionyesha sura yeye na sijui mdogo wake yule.
Mimi nilimgundua alivyo post picha ya garaje ya bajaji eti anasema mitaa ya moshi. Na kwenye video anaonekana anapiga picha eneo lilelile. Ana DJI pocket 3 na inamsumbua kweli kweli kurekodi. Inabidi atafute tutorial nzr
Ajifunze.
NairobiWalker
Huyo NairobiWalker ni mkenya mpumbavu sn, kutwa kucha yupo mitandaoni kuichafua Tanzania, na kwa sasa anazidi kuumia jinsi anavyoona tunawapiga magepu ya kutisha kuanzia infrastructures mpaka maisha baina ya wakenya na watanzania.
 
Ila hii story imewauma bradhee. Ngoja Teargas aje. Yeye ndio atawatia chumvi kwa kidonda vizuri.😂😂😂
Hakuna mtanzania atakuja kuomba omba Kenya, kwa lipi hasa, yani atoke Tanzania kwenye lundo la chakula aje Kenya kwenye njaa, huyo atakuwa kichaa, nani asiyejua Kenya kuna njaa miaka nenda rudi? Lini umesikia Tanzania kuna njaa. Wacheni ujinga, hao ni Wakenya wenzenu msiwabague kisa ni ombaomba, hapo ndipo mlipofika kama nchi. Failed state.
 
Huyo NairobiWalker ni mkenya mpumbavu sn, kutwa kucha yupo mitandaoni kuichafua Tanzania, na kwa sasa anazidi kuumia jinsi anavyoona tunawapiga magepu ya kutisha kuanzia infrastructures mpaka maisha baina ya wakenya na watanzania.
Hulka ya wakenya Huwa mdomo tu ila utendaji zero. Wakati wanawasifia wasomali kuteka Nairobi na kufanya biashara huku wazawa wakibaki maskini , wasomali wenzao wa Tanzania wameona competition Yao na wakinga hawaiwezi wamekimbia , Sasa hivi ni nadra kuwakuta wasomali au wahindi wakimiliki maduka makubwa ya kutisha kariakoo au sehem nyingi za tanzania
 
This proves what I've always said about Tanzanians. Your hatred of Kenya is based on misinformation and inferiority complex. Yani Kila kibaya Cha Tz mnablame Kenya na mnaamini hivo. Sasa unapata mtu maisha yake yote amekaa Tandale hata hajawai kutana na Mkenya ila ana chuki dhidi ya Wakenya ajabu. Mtu akitokea popote aseme ukweli kuhusu Tanzania ambao hampendi mnasema eti huyo ni Mkenya.😂😂😂😂

Yani ni Raha.😂😂

Wakunya mki-export ukabila, the only thing u r good at is hate!
 
Huyo mlemavu amepataje access ya kuvuka border kutoka Tanzania kwenda Kenya!?
Pia inaonesha uwezo wa kifedha hana amepataje hiyo access ya kuvuka mpaka!?
Ndo ujiulize ?
Yaan mtu ambaye hawezi hata kuzalisha apate nauli 70,000 Tsh kutoka musoma mpaka Nairobi Bado chakula. Fitna
Tanzania Kuna Tasaf IPO kwa ajili ya walemavu na Kila mwezi wanapokea pesa.
Kuna mikopo ya walemavu kupitia halmashauri Kuna sehem kama dar es salaam mpaka wanabembelezwaga kwenda kuchukua mikopo na kupewa elimu jinsi ya kujizalishia Kuna walipewa bajaji na route kabisa na hakuna Cha hata waziri kuingilia ili wapate kujitutumua
 
Wakenya wana vituko sana.
Yani hawaishiwi propaganda za kipuuzi zisizo na akili.
 
Ndo ujiulize ?
Yaan mtu ambaye hawezi hata kuzalisha apate nauli 70,000 Tsh kutoka musoma mpaka Nairobi Bado chakula. Fitna
Tanzania Kuna Tasaf IPO kwa ajili ya walemavu na Kila mwezi wanapokea pesa.
Kuna mikopo ya walemavu kupitia halmashauri Kuna sehem kama dar es salaam mpaka wanabembelezwaga kwenda kuchukua mikopo na kupewa elimu jinsi ya kujizalishia Kuna walipewa bajaji na route kabisa na hakuna Cha hata waziri kuingilia ili wapate kujitutumua
Muulize Kunyaland Hamna ombaomba wa Kikunya yaani kutoka makabila kama Kikuyus?
 
Back
Top Bottom