NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
Hii yako ni ya watu millioni ngapi?What is this girl talking about?
Yaani opinion ya mtu mmoja?? Mi ndio kwanza nasikia kwake.
Hii yako ni ya watu millioni ngapi?What is this girl talking about?
Yaani opinion ya mtu mmoja?? Mi ndio kwanza nasikia kwake.
Kwa sababu tunajua negativity ya Kenya towards Tanzania na your always in war with your neighbours hata hao Uganda mko na battle nao kwa vitu vya kipuuzStating facts sio chuki bro. Mbona Wanaijeria na Wazimbabwe na Waganda wametajwa na hawasemi ni chuki? Yani lazima mtu akuchukie ndio aseme kitu negative kukuhusu?😂😂
Kwa account yake anasema yeye ni Rwandese/Congolese. Hivi hujui Rwandese na Congolese wanaongea Kiwahili? Alafu yeye mwenyewe kasema haogopi Wakenya, hajasema yeye ni Mkenya. Kubalini hampendi kuambiwa ukweli na mna chuki dhidi ya Wakenya. Muache kuwa homeless nchi za watu. Mnatutusi humu tunafanya kazi za nyumbani kwa Waarabu wakati nyinyi ni ombaomba kwa nchi za watu. 😂 😂
![]()
View: https://youtu.be/a1UgKAzpgi8?si=gO1cwavMOzV98dw9
Media za Tanzania hazina hata habari na kenya
niliwahi kusema adui wa kwanza wa tanzania ni mkenya na wakenya hudhani tanzania ndio mhasimu wao mkuu kumbe wanasahau mhasimu wao mkuu ni ukabila na umaskini 😂😂😂😂😂Huyo ni mkenya. Angalia hata comments ana reply kiswahili kabisa.
Nadhani naprove ile statement yangu kuwa anything bad about Tanzania on internet there must be Kenyan related.
Yaan nyinyi hiz chuki za kuharibu image ya Tanzania mtaacha lini? But God of Tanzania always punishes you. Sio YouTube mara Tanzania are tired of Americans, Mara Tanzania their electric trains zinakwama misituni.
We have a snake Neighbour and we know that.
And no one cares. Mtahangaika wee mwishowe mtaacha
And actually...and there is no point of Mentioning your fellow Africans and saying they are hobos etc. You don't know what they are passing through to be that way. Huo ni ujinga na upumbavu. And bad enough is mentioning other nationalities...hiyo ni spreading hate na xenophobic. Angalia hata comments wamemsema kweli nadhani hatarudia
It's actually the other way round. The war is imaginary in your minds and this discussion proves it. Somebody says somethig negative about Tz and you immediately deduce it's a Kenyan when Kenyans are not even involved in it. Stop your inferiority complex.😂😂Kwa sababu tunajua negativity ya Kenya towards Tanzania na your always in war with your neighbours hata hao Uganda mko na battle nao kwa vitu vya kipuuz
My wife if from Ladysmith, KZN.Hii yako ni ya watu millioni ngapi?
So hiyo ndio cooked data chuchunge?Utaskia wakisema sijui mara World Bank and IMF wanachukia Tanzania as if Tanzania ina chochote cha kuchukiwa 😂😂.
Before IMF and World flagged them they kept on saying they were developing at 7%, since IMF and World Bank exposed their lies they reduced their growth to 5%, I can remember when they coiled their tales between their legs and returned their growth level to 4.9% immediately after they were exposed😂😂🤣
Mbona unakwepa?Sasa ananiambia nimletee cooked data badala ya kusome link za IMF na WB ulizompea.😂😂
So what?My wife if from Ladysmith, KZN.
Kwa Sabab mmezoea hatred ndo maana kwako ni kawaida anyway Tanzania hatuna tribal issues kwahiyo huo ni uchonganishi.Thank you for sharing this video. Huyo mtangazaji ameongea ukweli.
The stop your inferiority then prove she is not a Kenyan then I will prove she is KenyanIt's actually the other way round. The war is imaginary in your minds and this discussion proves it. Somebody says somethig negative about Tz and you immediately deduce it's a Kenyan when Kenyans are not even involved in it. Stop your inferiority complex.😂😂
Hivi kwa huu mjadala nani ameonyesha hatred?Kwa Sabab mmezoea hatred ndo maana kwako ni kawaida anyway Tanzania hatuna tribal issues kwahiyo huo ni uchonganishi.
Anyway kama nyinyi wenyewe mnashindwa kaaa kwa makabila yaan mkikuyu hawez iva na mkalenjin ,mkamba, mkisiii ndo mtaweza kuacha rivalries na Tanzanian ambao hawana tribal issues
I have already proved. Hivi unafuatilia mjadala ama unabwabwaja tu? 😂😂😂The stop your inferiority then prove she is not a Kenyan then I will prove she is Kenyan
Wacha mipasho janaume zee kabisa utapumuliwa.ww kweli ni kuchaa tena kinyaa 😂😂🙌🏻🙌🏻
Tanzania ikipostiwa popote mitandaoni lazima ukutane na comment's zao za chuki.Kwa Sabab mmezoea hatred ndo maana kwako ni kawaida anyway Tanzania hatuna tribal issues kwahiyo huo ni uchonganishi.
Anyway kama nyinyi wenyewe mnashindwa kaaa kwa makabila yaan mkikuyu hawez iva na mkalenjin ,mkamba, mkisiii ndo mtaweza kuacha rivalries na Tanzanian ambao hawana tribal issues
Napitaga Durban kila nikija Africa.So what?
Hii iko very clear, popote Tz itakapotajwa lazima ukute wamejazana ima kubeza, kukosoa au kuleta umbea.Tanzania ikipostiwa popote mitandaoni lazima ukutane na comment's zao za chuki.
Wanaiogopa Tanzania. 😂😂😂
Kenya ni kasongo wa Africa Kila sehem anawashwaTanzania ikipostiwa popote mitandaoni lazima ukutane na comment's zao za chuki.
Wanaiogopa Tanzania. 😂😂😂
Ana akili mbovu sn huyu kima.Huyu darasa la saba ana matatizo sana!