Mmmh sidhani kama itakua sawa na SGR ya Kenya, kwasababu MGR ya TZ itakua continuous welded ilhali ya Kenya ni jointed rail nginjanginja.
Hapana hawajafeli wanalo soko linalohitaji hivo, wapo wanaopanda ndege kwenda Dodoma.Kwa sisi raia wa kawaida usafiri wa kawaida upo.ila hapa wamefeli kadogosa apitie hzi bei tena unless waseme tu kua mchongoko ni kwa ajili ya viongozi na watu mashuhuri but sio kwa mtanzania wa kawaida.
Tunangoja na tutakukumbusha humu! Labda route ya Bukoba!Ngoja. Soon napanda hiyo Air Tanzania. Nitapiga picha nitaleta hapa. Nipe muda
Maana nyinyi mnatetea vitu sijui mnaishi Tanzania gani? Tuache ushabiki tuongee ukweli na uhalisia.
Hii tabia ya kukubali kubali kila kitu ili ulinde kibarua inaliangamiza taifa. Sometimes you have to challenge and think of the reality. Don't just think of your class and status.
Anyway naacha hii mijadala ya EMU.
Uliza World Bank na IMF.Which data tunapika?
These guys enjoy sealioning. Anajua ukianza kujieleza atakusumbua na maswali za ujinga Hadi ukasirike na hapo atajiona mshindi. Aende akaulize World Bank na IMF.🤣🤣Kwani ni mimi ndio nilisema ati Tanzania inapika their economic data ama World Bank and IMF? Mbona unaniletea hasira zako wakati wenye walisema hivo unawajua? Should I give you their mails to express your anger and disapproval?😂😂
Kenya ni mtoto wa beberu hivyo beberu lazima amlinde mtoto, nakudokeza🤣Wachawi wamekazana na ooh mara nobody trusts Kenyan economic figures when in real sense Tanzania pekee ndio nchi imekuwa flagged for 3 consecutive years for cooking their figures both by World Bank and IMF😂😂
Unajua nina miliki accounts ngapi wewe bundi?Umeshinda kutafuta engagement unadhani huyo ni kama wewe? The part page has been there even before Elon Musk bought X. Because wameongelea something touching Tanzania lazima tu mngekasirika.
Anyway how are you doing with looking for engagements your zero likes posts😂
Ujio wa treni umefanya watu wengi waache kuendesha wanapanda treni. Hio ni ile servive ya kawaida. Hata wanaopanda mabasi wameacha kwasababu nauli ya treni ni sawa na ya bus. Hakuna watu wapya wa kuacha kuendesha wapande EMU. Akili yao watu wataacha ile service ya kawaida wapande EMU. Tusubiri muda utaongea. Mtu atoe 300,000 si bora aendeshe maana gharama ni ile ile na ukifika DOm au Moro unakuwa na gari yako ya kupigia misele. Watu waliachana na magari kwasababu ya unafuu wa gharama. Tujipe muda tutaona kama itajaa hio huduma ya 150k.Watu mnaoenda na magari yenu Dodoma mjiorodheshe majina yenu tuone kama mtakuwa mnaijaza hiyo treni kila siku kwenda na kurudi.
Bei ziwekwe kwa unafuu wa kila mtu, sio watu wachache. Kodi zilizotumika kujenga ni zetu sote. Sio za matajiri peke yao. Ingekuwa laki ningeelewa ila laki na nusu parefu sana mzee.
Nyie subirini. Hamtaamini macho yenuUjio wa treni umefanya watu wengi waache kuendesha wanapanda treni. Hio ni ile servive ya kawaida. Hata wanaopanda mabasi wameacha kwasababu nauli ya treni ni sawa na ya bus. Hakuna watu wapya wa kuacha kuendesha wapande EMU. Akili yao watu wataacha ile service ya kawaida wapande EMU. Tusubiri muda utaongea. Mtu atoe 300,000 si bora aendeshe maana gharama ni ile ile na ukifika DOm au Moro unakuwa na gari yako ya kupigia misele. Watu waliachana na magari kwasababu ya unafuu wa gharama. Tujipe muda tutaona kama itajaa hio huduma ya 150k.
Ushindani aside kuna interaction kubwa Kati ya Nairobi na Arusha na pia Moshi! Siko sure kama Mwanza na Mbeya wana-take advantage ya locations zao kama Arusha na Moshi.
Ukiona unabweka hivi, jua Wewe si abitria mtarajiwa wa hii huduma’ wacha waheshimiwa na Ma-CEO wapumue kidogo!Ujio wa treni umefanya watu wengi waache kuendesha wanapanda treni. Hio ni ile servive ya kawaida. Hata wanaopanda mabasi wameacha kwasababu nauli ya treni ni sawa na ya bus. Hakuna watu wapya wa kuacha kuendesha wapande EMU. Akili yao watu wataacha ile service ya kawaida wapande EMU. Tusubiri muda utaongea. Mtu atoe 300,000 si bora aendeshe maana gharama ni ile ile na ukifika DOm au Moro unakuwa na gari yako ya kupigia misele. Watu waliachana na magari kwasababu ya unafuu wa gharama. Tujipe muda tutaona kama itajaa hio huduma ya 150k.
Nyie subirini. Hamtaamini macho yenu
Classical upishi ni huu hapa 👇Bro, kama unaumia sana nenda ukawapigie World Bank and IMF kelele. Hao ndio walisema mnapika data, sio NairobiWalker
Organized bus terminal embu watuletee ya Nairobi sasa tulinganishe 😁
Corporates, serikali na affluent Tanzanians watalipa na kuijaza shida nini mkuu ni EMU ama kuna kingine? 😁Watu mnaoenda na magari yenu Dodoma mjiorodheshe majina yenu tuone kama mtakuwa mnaijaza hiyo treni kila siku kwenda na kurudi.
Bei ziwekwe kwa unafuu wa kila mtu, sio watu wachache. Kodi zilizotumika kujenga ni zetu sote. Sio za matajiri peke yao. Ingekuwa laki ningeelewa ila laki na nusu parefu sana mzee.