ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,427
- 85,266
Iwekwe Battle Stand za Tanzania Vs Kenya
Hiyo battle hawawezi kusogeza pua zao, hawana bus stand za maana huko kwao. Hiyo Ndio battle pekee hawawezi changia chochote.Iwekwe Battle Stand za Tanzania Vs Kenya
Unatafuta ugomvi Kenya wanastend kwani? Muwage na huruma 🤣🤣🤣🤣Iwekwe Battle Stand za Tanzania Vs Kenya
tanzaniatimes.net
Simple lete hiyo data cooked hata moja mbona unazunguka?These guys enjoy sealioning. Anajua ukianza kujieleza atakusumbua na maswali za ujinga Hadi ukasirike na hapo atajiona mshindi. Aende akaulize World Bank na IMF.🤣🤣
why would I, mbona ni simple tu ulete hiyo cooked.Kwani ni mimi ndio nilisema ati Tanzania inapika their economic data ama World Bank and IMF? Mbona unaniletea hasira zako wakati wenye walisema hivo unawajua? Should I give you their mails to express your anger and disapproval?😂😂
Haiwezekani maana lazima kwanza unapoanzisha battle uweke stand zinazoendana ki hadhi from both sides sasa wenzetu hawana hata moja hii haitakuwa battle tena bali ni kuwa P.Didy bila baby oilIwekwe Battle Stand za Tanzania Vs Kenya
Mie kila Nikiingia Humu Naona mmoja Anapost Mabasi NakujisifuHaiwezekani maana lazima kwanza unapoanzisha battle uweke stand zinazoendana ki hadhi from both sides sasa wenzetu hawana hata moja hii haitakuwa battle tena bali ni kuwa P.Didy bila baby oil