Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mie kila Nikiingia Humu Naona mmoja Anapost Mabasi Nakujisifu
Ajabu Anaposti Basi lipo Sehemu Chafu mtaani Sion Akipost yakiwa Stand kama Huku
Inamaana Wao wanapandia Basi Hovyo hovyo bila Ya Utaratibu
Huyo ni taahira wa humu ndani inabidi umzoee tuu hivyo hivyo.
Mabasi yao wamapanda na kushusha by the roadside 😁
 
Iwekwe Battle Stand za Tanzania Vs Kenya
Kama Unataka Wakenya wote Wapotee humu JF
Lete hiyo mada hapa
Hawataki hata Kuisikia Never
Hebufikiria
Hapa ni ndio makao makuu ya Mji wao Wanao Jisifia Kuna Kituko kama hiki
Na hapa walivyo Majuha Wakifika Wao wanajiona Wapo Ulaya
😂😂😂
Shida ya Mikunya Ni sifa na Kuamini wao wapo Mbaali kumbe hovyo


images(2).jpg
 
Kama Unataka Wakenya wote Wapotee humu JF
Lete hiyo mada hapa
Hawataki hata Kuisikia Never
Hebufikiria
Hapa ni ndio makao makuu ya Mji wao Wanao Jisifia Kuna Kituko kama hiki
Na hapa walivyo Majuha Wakifika Wao wanajiona Wapo Ulaya
😂😂😂
Shida ya Mikunya Ni sifa na Kuamini wao wapo Mbaali kumbe hovyo


View attachment 3138098
Hapa Padogo sana Ilitakiwa Iwe Stand ya Gari Ndogo kama Mwenge
 
These guys enjoy sealioning. Anajua ukianza kujieleza atakusumbua na maswali za ujinga Hadi ukasirike na hapo atajiona mshindi. Aende akaulize World Bank na IMF.🤣🤣
They will even dispute their government report as long it puts below Kenya, very foolish people😂😂😂
 
Unajua nina miliki accounts ngapi wewe bundi?

Owner wa hiyo account ni Mnigeria. Nimekwambia, lete source ya hiyo habari, simple.
I don’t care how many account you own. As long as you look for interactions huku JF after kushindwa kuzipata huko X clearly shows how foolish you.

By the way you can have even 1000 accounts and all of them will still have zero likes and repost in every post you make😂
 
Back
Top Bottom