ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ubaya ni hawana kabisa business mentality ila wanataka kupanda royal class kwa chee!Ninawashangaa sana. Wanataka TRC ijiendeshe kwa hasara ili ife tena. Watu kama hawa hawafai kabisa kwenye discusion za maendeleo. Akili zimedumaa (Wahafidhina Nini maana ya Wahafidhina? )
Hawapo tayari kubadilika. wanatumia sababu za ajabu ili kukwamisha maendeleo.
Means haujui hata unachoongelea.Bro, kama unaumia sana nenda ukawapigie World Bank and IMF kelele. Hao ndio walisema mnapika data, sio NairobiWalker
Yaani EMU iwe kama Daladala za mbagala!. Waache nongwa. Zipo treni bei yake ni Tsh 31,000. Wanataka vitu vizuri kwa bei sawa na bure.Ubaya ni hawana kabisa business mentality ila wanataka kupanda royal class kwa chee!
Kwani ni mimi ndio nilisema ati Tanzania inapika their economic data ama World Bank and IMF? Mbona unaniletea hasira zako wakati wenye walisema hivo unawajua? Should I give you their mails to express your anger and disapproval?๐๐Means haujui hata unachoongelea.
Fossil Trains
Mawazo yako ni kama maziwa ya mgandoKwani ni mimi ndio nilisema ati Tanzania inapika their economic data ama World Bank and IMF? Mbona unaniletea hasira zako wakati wenye walisema hivo unawajua? Should I give you their mails to express your anger and disapproval?๐๐
Ngoja. Soon napanda hiyo Air Tanzania. Nitapiga picha nitaleta hapa. Nipe mudaNimekuuliza lini ulienda ndege ikiwa nusu? Au ni Assumptions zako kutaka ku justify mawazo yako?
Sawa ukipanda tupatie picha ikionesha ndege ipo nusu Kutoka Dar kwenda Dodoma.Ngoja. Soon napanda hiyo Air Tanzania. Nitapiga picha nitaleta hapa. Nipe muda
Maana nyinyi mnatetea vitu sijui mnaishi Tanzania gani? Tuache ushabiki tuongee ukweli na uhalisia.
Hii tabia ya kukubali kubali kila kitu ili ulinde kibarua inaliangamiza taifa. Sometimes you have to challenge and think of the reality. Don't just think of your class and status.
Anyway naacha hii mijadala ya EMU.
na ndio shida kubwa tulionayo wengi yani tushangilie kila kitu hata kama mambo yanaenda vibaya.Ngoja. Soon napanda hiyo Air Tanzania. Nitapiga picha nitaleta hapa. Nipe muda
Maana nyinyi mnatetea vitu sijui mnaishi Tanzania gani? Tuache ushabiki tuongee ukweli na uhalisia.
Hii tabia ya kukubali kubali kila kitu ili ulinde kibarua inaliangamiza taifa. Sometimes you have to challenge and think of the reality. Don't just think of your class and status.
Anyway naacha hii mijadala ya EMU.
Watu mnaoenda na magari yenu Dodoma mjiorodheshe majina yenu tuone kama mtakuwa mnaijaza hiyo treni kila siku kwenda na kurudi.Ndugu Tsh 150,000 ni ndogo sana. Kwetu sisi tunaopiga route kwa kuendesha gari from Dar to Dodoma ni kawaida sana.
Mfano mimi huwa najaza Full Tank kutoka Dar kwenda dodoma Liter 60. Ninafika dodoma Mafuta yameisha.
So piga hesabu mafuta Liter 60x 3,000 = Tsh 180,000. Plus umechoka umefanyia gari service. Guys hebu tuache ulalamishi ambao hauna tija. Mimi mwenyewe nitaacha kweda Dodoma na Gari.
I will be using Royal.
Hakuna jambo lililoenda vibaya kwenye issue ya EMU. Nitasimama na Tsh 150,000na ndio shida kubwa tulionayo wengi yani tushangilie kila kitu hata kama mambo yanaenda vibaya.
Kwa siku tupo zaidi ya watu 1000 + watu wengine wanaenda kwa shughuli zao waliokuwa wanasafiri na ndege.Watu mnaoenda na magari yenu Dodoma mjiorodheshe majina yenu tuone kama mtakuwa mnaijaza hiyo treni kila siku kwenda na kurudi.
Bei ziwekwe kwa unafuu wa kila mtu, sio watu wachache. Kodi zilizotumika kujenga ni zetu sote. Sio za matajiri peke yao. Ingekuwa laki ningeelewa ila laki na nusu parefu sana mzee.
Ndo Maana kuna watu nawaita maboya humu ndani! Uzushi kila siku!