Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fool What is transpiration? Do u have water vessels n cross countries pipeline or a single gas pipeline to claim u r ahead in transportation?
Yes we have water vessels and we even manufacture some for Tanzania. We have oil pipelines which are more productive than your Zambia Pipeline. Ebu leta the volume of oil you transport through that pipeline in a year then we compare na za Kenya.
 
ikiwa wanatuambiwa ni service basi walete bei za kitanzania

hapa hatuzungumzii vya bure kaka tunazungumzia bei iliowekwa ni kubwa sana kwa mtanzania wa kawaida

watanzania wanategemea SGR kua mkombozi wao kwenye usafiri na biashara
Bei ya Kitanzani ni Tsh ngapi Mzee? If you don't afford panda unazoweza kulipia. Tatizo ni nini hapo. Wewe unataka kila mtu apande EMU.
 
iko juu sana kwa mtanzania bro, siku zote ukitaka kujua neema za MUNGU muangalia mtu alie chini yako, ifike hatua hii nchi itazame wanyonge 150k kaka dar dom its a lot unless tuambiwe kua mchongoko ni kwa ajili ya matajiri tu then its ok .....

tumeambiwa kua umeme unaotumika ni just 10% ya ghrama from 40% ya diesel so inakuaje bei zinatisha namna hiii, tusijiangalie sisi labda tuna uwezo je mtanzania wa hali ya chini atanufaika vp na usafiri huo
Kwani hakuna options cheaper za kwenda Dodoma by SGR?
 
Ndugu Tsh 150,000 ni ndogo sana. Kwetu sisi tunaopiga route kwa kuendesha gari from Dar to Dodoma ni kawaida sana.

Mfano mimi huwa najaza Full Tank kutoka Dar kwenda dodoma Liter 60. Ninafika dodoma Mafuta yameisha.

So piga hesabu mafuta Liter 60x 3,000 = Tsh 180,000. Plus umechoka umefanyia gari service. Guys hebu tuache ulalamishi ambao hauna tija. Mimi mwenyewe nitaacha kweda Dodoma na Gari.

I will be using Royal.
Kwani ndege mpaka Dom ni sh ngapi na huwa inakuwa full booked. Hii fare inaelekea kuwa target abiria ambao hutumia usafiri wa ndege between Dom and Dar
 
nimekuuliza sensa ya mama ngina ya kuwadanganya na kuwatia ujinga???

😂😂😂😂😂 ndio maana wanasiasa wanawatua ujinga nyinyi munaibiwa huku munaona
Kwaivo tuache kuamini sensa tuamini nini? Huwa unawaza kwanza kabla upost ama wewe bora tu upost?
 
hapa hatuzungumzii gari bro hapa tunazungumzia usafiri wa umma, siku zote TRC wanasema treni ya abiria iko kwa ajili ya kutoa service haiko kibiashara au sio hvo wanavosema kaka???

hvi nikuulize unataka kunambia mtu wa hali ya chini hatamani kupanda mchongoko?? kila mtanzania anataman hvo wanapaswa kuweka bei ambayo hata mtu wa chini anshawishika kupambana apate pesa ambayo iwe reasonable
Wacha uongo juzi wamesema SGR ijiendeshe kibiashara wakieleza mapato tangu ianze!
 
Yes we have water vessels and we even manufacture some for Tanzania. We have oil pipelines which are more productive than your Zambia Pipeline. Ebu leta the volume of oil you transport through that pipeline in a year then we compare na za Kenya.
Mwanza alone has more than the whole of Kunyakand!
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-27-15-55-52-35_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    Screenshot_2024-10-27-15-55-52-35_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    682 KB · Views: 3
There's no country in East Africa that can compete with Kenya in terms of Transpiration. Nyinyi tafuteni South Sudan cause it seems you have already accepted that Burundi is ahead of Tanzania.
Hebu tuliza jaziba. Unless umemaanisha hivyo.

Transportation sector sidhani tafuta nchi inayotumia Chai Maharage ndio muilinganishe.

Ikiwa wa tu miundombinu ya transportation ni kesheshe. No bus stand ya kueleweka, Airport ni moja na inavuja plus zikiikosa zinaenda Kilimanjaro Airport.

Kuna fuso kama zoote mjini.

Ndege 3 chakavu na shirika zima la KLM.

Majini mpo worse

SGR ipo porini very outdate fossil.

Ndio ulete mdomo
 
Kosa lipo kwa watendaji wa serikali yetu,awatoi data wapo wapo tu,JNHPP,sgr dar -mwanza,brt barabara zinajengwa dar yote,kigongo busisi bridge n.k,hii miradi ingekua ukunyan saa hz tungeambiwa ukunyan gdp ingekua mara 2 ya sasa hivi plus kupika data,nchi yetu viongozi wake wengi hawana maono ya taifa zaidi ya familia zao
 
Hebu tuliza jaziba. Unless umemaanisha hivyo.

Transportation sector sidhani tafuta nchi inayotumia Chai Maharage ndio muilinganishe.

Ikiwa wa tu miundombinu ya transportation ni kesheshe. No bus stand ya kueleweka, Airport ni moja na inavuja plus zikiikosa zinaenda Kilimanjaro Airport.

Kuna fuso kama zoote mjini.

Ndege 3 chakavu na shirika zima la KLM.

Majini mpo worse

SGR ipo porini very outdate fossil.

Ndio ulete mdomo

View: https://youtu.be/3ALqdqoTYSE?si=kZF16LFlx7A33NX7
Nasubiria kuona ujenzi ukifika malaba mwaka 2900
 
Kosa lipo kwa watendaji wa serikali yetu,awatoi data wapo wapo tu,JNHP,sgr dar -mwanza,brt barabara zinajengwa dar yote,kigongo busisi bridge n.k,hii miradi ingekua ukunyan saa hz tungeambiwa ukunyan gdp ingekua mara 2 ya sasa hivi plus kupika data,nchi yetu viongozi wake wengi hawana maono ya taifa zaidi ya familia zao
Muda mwingine Bora kukaa kimyaa kuliko kutangaza maana unawapa washindani wako muda wa kukupanga.
 
Ubishi wa leo bei za Train.

Mnaweza ona bei ni Sawa 120,000 yes it make sense kwenu, kama mlivyosema kuna option nyingi, what If watu wakaamua kutumia zaidi option hizo wanazozimudu na hiyo michongoko ikawa haipati volume inayotegemewa, mwisho ianze kuonekana Hasara tu kama Air Tanzania route za Ndani baada ya kumtimua FastJet.

Hatuna baya nazo, zinatumia umeme wetu fully from JNHPP maji ya RUFIJI, sio diesel obviously cost ni ndogo.

Na ieleweke mostly SGR wengine wanaitumia iwafikishe Dodoma haraka you adake another kwenda tuseme Mwanza ikiwa Katarama na Irzar yqke hiyo 120,000 unapanda na unapata kila huduma 1000km.

Nachojaribu kumaanisha hakuna baya nauli zikiwa hivyo, ni kuwa with existing competition kwenye transportation Ndege, Train, Luxurious Buses, na hiyo SGR ina behewa class za chini ni Nzuri na zinafika muda sawa kabisa na hiyo Royal kwa kupishana dakika kadhaa.

Itakuawe watu wengi wakizikacha watumie zingine kwa wingi, Mchongoko itakuaje ikiwa haipati kama ilivyopangwa na zipo kadhaa?

Making it affordable sio kwa ubaya ikiwa Dar Moro ni 13k ordinary, alafu ghafla Royal upo 60k inakuaje na muda wa kufika unakuta uleule labda kupishana dk kadhaa.

Siku mchongoko ukianza kuonekana eti hautumiki kama ulivyotegemewa unaharibu hela za walipakodi tuanze tena kutafutana.

Mkumbuke hao mnaowaita viongozi wana AIR TANZANIA pia.
 
Hiyo what if, ni Assumption (Nakuhakikishia Behewa nane zote zitakuwa zinajaa). Watu hatufanani bro. Hiyo 150,000 haifikii hata kima cha chini cha posho ya mtumishi wa kawaida kwa siku.
 
Ubishi wa leo bei za Train.

Mnaweza ona bei ni Sawa 120,000 yes it make sense kwenu, kama mlivyosema kuna option nyingi, what If watu wakaamua kutumia zaidi option hizo wanazozimudu na hiyo michongoko ikawa haipati volume inayotegemewa, mwisho ianze kuonekana Hasara tu kama Air Tanzania route za Ndani baada ya kumtimua FastJet.

Hatuna baya nazo, zinatumia umeme wetu fully from JNHPP maji ya RUFIJI, sio diesel obviously cost ni ndogo.

Na ieleweke mostly SGR wengine wanaitumia iwafikishe Dodoma haraka you adake another kwenda tuseme Mwanza ikiwa Katarama na Irzar yqke hiyo 120,000 unapanda na unapata kila huduma 1000km.

Nachojaribu kumaanisha hakuna baya nauli zikiwa hivyo, ni kuwa with existing competition kwenye transportation Ndege, Train, Luxurious Buses, na hiyo SGR ina behewa class za chini ni Nzuri na zinafika muda sawa kabisa na hiyo Royal kwa kupishana dakika kadhaa.

Itakuawe watu wengi wakizikacha watumie zingine kwa wingi, Mchongoko itakuaje ikiwa haipati kama ilivyopangwa na zipo kadhaa?

Making it affordable sio kwa ubaya ikiwa Dar Moro ni 13k ordinary, alafu ghafla Royal upo 60k inakuaje na muda wa kufika unakuta uleule labda kupishana dk kadhaa.

Siku mchongoko ukianza kuonekana eti hautumiki kama ulivyotegemewa unaharibu hela za walipakodi tuanze tena kutafutana.

Mkumbuke hao mnaowaita viongozi wana AIR TANZANIA pia.
Itakuwa ngumu kupata wateja 590 kwa trip Moja kwa hiyo Bei ila ingekuwa letsay
royal 100,000
Business 70,000
Na wakafanya adjustment kwenye zile za kawaida kusikiwepo na Ile express ila Bei kwa business iishie 55,000 na economy ikawa 35,000 Bado wangeweza tengeneza pesa sana tu.
Kingine Kuna ishu ya moro nadhan kama Inawezekana kungekuwepo na mabehewa yanayotengwa kwa ajili ya moro maana Kuna kipindi unakuta unafanya booking ila unakuta limejaa ila unapata za kutoka dom- moro na mkitoka unakuta tren Iko empty ila ikifika moro ndo abiria wanajaa huku unakuta wateja wengi wamekosa zile za Moja kwa Moja.
 
Back
Top Bottom