Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo what if, ni Assumption (Nakuhakikishia Behewa nane zote zitakuwa zinajaa). Watu hatufanani bro. Hiyo 150,000 haifikii hata kima cha chini cha posho ya mtumishi wa kawaida kwa siku.
Mkuu kwa mwanzoni zitajaa ila baadae Bado itakuwa gharama labda wafanye adjustment kwenye speed pia at mpaka 200 kwa hizo premium Nina uhakika watapanda wengi.
 
ikiwa wanatuambiwa ni service basi walete bei za kitanzania

hapa hatuzungumzii vya bure kaka tunazungumzia bei iliowekwa ni kubwa sana kwa mtanzania wa kawaida

watanzania wanategemea SGR kua mkombozi wao kwenye usafiri na biashara
Kwani hakuna affordable fare kwenye SGR? Au nongwa ni mchongoko tuu?
 
Muda mwingine Bora kukaa kimyaa kuliko kutangaza maana unawapa washindani wako muda wa kukupanga.
Data zinadai TZ iko katika 15 maskini zaidi duniani,wewe unaona sawa kabisa na kiuhakika tupo kwenye top 10 ya nchi zilizo na uchumi mzuri afrika!tbs wachinjwe dec wale,GDP yetu kwa sasa hamna anaetufikia east africa
 
Bro 120,000 or 150,000 ni pesa ya kawaida sana. Bro hatufanani.
Kiukweli nakuunga mkono mkuu nauli za mabasi zinaongezeka kila siku na still abiria wanaendelea kuongezeka kila iitwayo leo kwa mfano ni mwaka juzi tu nauli ya Bus Dar-Mwanza ilikua ni 50k Tz money lakini juzi nilipanda bus kwa kulipa 78k Tz money. Ongezeko la 28k .. na hizi ni nauli za raia wa kawaida kabisa, huduma za kawaida kabisa.

Kwa nauli za mchongoko, huduma + uharaka wa safari n.k, hizo nauli zote ni affordable kabisa, na watu wengi watatumia.
 
Kwani ni uongo? Kama hufurahishwi na uchumi wa Kenya basi peleka malalamiko Yako kwa World Bank ama IMF.

Kenya is the East African SuperPower whether you like or not.
supa power na haina nguvu za kiume ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hebu tuliza jaziba. Unless umemaanisha hivyo.

Transportation sector sidhani tafuta nchi inayotumia Chai Maharage ndio muilinganishe.

Ikiwa wa tu miundombinu ya transportation ni kesheshe. No bus stand ya kueleweka, Airport ni moja na inavuja plus zikiikosa zinaenda Kilimanjaro Airport.

Kuna fuso kama zoote mjini.

Ndege 3 chakavu na shirika zima la KLM.

Majini mpo worse

SGR ipo porini very outdate fossil.

Ndio ulete mdomo
Go check the value of Tanzanian sector Alafu ulinganishe na ya Kenya. Ukipata ya Tanzania kama ni kubwa kuliko ya Kenya kuja unizabe.
 
Back
Top Bottom