concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,312
- 14,351
Hebu acha upuuzi wako wewe nyang'au. Unazunguka zunguka tu kama pia.Please mention those 200 settlements hapa tunataka kuziona. Also don't forget that 41% of Tanzanians live in slums.
Ila at least kungewepo na daraja jingine la letsay premium economy kwa 70,000 au kama vipi wangeweka treni nyingine za mchongoko ambazo zingekuwa juu kidogo ya hizi economy ya Sasa.Business gap waliyoiona TRC ni excesive demand waliyonayo, sasa hii inakuja kuzibwa na hii price descrimination waliyoamua kuiweka, mtu ambaye anapata safari ya ghafla atapata usafiri, hakuna tena kubook a week before kama ilivyo sasa. Ni economics tu sema watu wetu wengi ujamaa umewapumbaza.
You can't argue with facts. Your transport sector bado ni ndogo sana compared to Kenyan.Yes according to mama ngina statistics 😂😂😂
According to mama ngina yes. 😂😂You can't argue with facts. Your transport sector bado ni ndogo sana compared to Kenyan.
View attachment 3136402
So siku hizi Mama Ngina ni Mjerumani? Cause the last time i checked statista is owned by Germans.Yes according to mama ngina statistics 😂😂😂
hapa hatuzungumzii gari bro hapa tunazungumzia usafiri wa umma, siku zote TRC wanasema treni ya abiria iko kwa ajili ya kutoa service haiko kibiashara au sio hvo wanavosema kaka???Ndugu Tsh 150,000 ni ndogo sana. Kwetu sisi tunaopiga route kwa kuendesha gari from Dar to Dodoma ni kawaida sana.
Mfano mimi huwa najaza Full Tank kutoka Dar kwenda dodoma Liter 60. Ninafika dodoma Mafuta yameisha.
So piga hesabu mafuta Liter 60x 3,000 = Tsh 180,000. Plus umechoka umefanyia gari service. Guys hebu tuache ulalamishi ambao hauna tija. Mimi mwenyewe nitaacha kweda Dodoma na Gari.
I will be using Royal.
nimekuuliza sensa ya mama ngina ya kuwadanganya na kuwatia ujinga???Ebu tuambie nani aliehesabu watu kibera wakapata wako 2.5M. Wewe ama? Alafu hiyo population unataka kukula ni according to who?
Hiyo Census is a what is recognized world wide. Wewe kama haikufurahishi basi Rudi kwenu Yemen. By the way Yemen ishaifanya census? Ama ulikimbia huko before walihesabu?nimekuuliza sensa ya mama ngina ya kuwadanganya na kuwatia ujinga???
😂😂😂😂😂 ndio maana wanasiasa wanawatua ujinga nyinyi munaibiwa huku munaona
Sasa ndugu service ya mabehewa na kulipia operations pesa zitatoka wapi? Sometimes we need to adopt changes. Tusupende vya bure. Ndio maana mashirika ya umma yanakufa kwa kuendekeza fikra hizi.hapa hatuzungumzii gari bro hapa tunazungumzia usafiri wa umma, siku zote TRC wanasema treni ya abiria iko kwa ajili ya kutoa service haiko kibiashara au sio hvo wanavosema kaka???
hvi nikuulize unataka kunambia mtu wa hali ya chini hatamani kupanda mchongoko?? kila mtanzania anataman hvo wanapaswa kuweka bei ambayo hata mtu wa chini anshawishika kupambana apate pesa ambayo iwe reasonable
Ni wapi hii Dunia wanasiasa hawaibi? For your information Tanzania and Yemen are more corrupt than Kenya.😂😂😂😂😂 ndio maana wanasiasa wanawatua ujinga nyinyi munaibiwa huku munaona
ikiwa wanatuambiwa ni service basi walete bei za kitanzaniaSasa ndugu service ya mabehewa na kulipia operations pesa zitatoka wapi? Sometimes we need to adopt changes. Tusupende vya bure. Ndio maana mashirika ya umma yanakufa kwa kuendekeza fikra hizi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ni wapi hii Dunia wanasiasa hawaibi? For your information Tanzania and Yemen are more corrupt than Kenya.
miaka yote munadanganywa na wanasiasa wenu kua nyinyi muna uchumi mkubwa sijui supa pawaNi wapi hii Dunia wanasiasa hawaibi? For your information Tanzania and Yemen are more corrupt than Kenya.
Fool What is transpiration? Do u have water vessels n cross countries pipeline or a single gas pipeline to claim u r ahead in transportation?There's no country in East Africa that can compete with Kenya in terms of Transpiration. Nyinyi tafuteni South Sudan cause it seems you have already accepted that Burundi is ahead of Tanzania.
Kwani ni uongo? Kama hufurahishwi na uchumi wa Kenya basi peleka malalamiko Yako kwa World Bank ama IMF.miaka yote munadanganywa na wanasiasa wenu kua nyinyi muna uchumi mkubwa sijui supa pawa