Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ndo alisema Dar haina sidewalks. Nairobi zimejaa.
Hapo nikamuignore. Mwanzo nilijua mtu wa maana kumbe naye boya tu.
Wakenya watamuabudu na kuamini kitu asemacho kisa yeye ni mzungu ata kufanya utafiti binafsi hawafanyi
Yeye amekaa Nairobi na akakaa Dar. Hana emotional attachment kwa either city na ametoa maoni kwamba Nairobi Ina sidewalks na Dar haina. Wewe uliye na emotional attachment kwa Dar na hujawai fika Nairobi unataka tukuamini na yeye tusimuamini? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Unajua Ile ni biashara na upumbavu Ni pale kung’ang’ania bei royal class ishuke wakati treni ina behewa nyingine saba zisizo royal class ukiacha sgr ya kawaida! Options zipo nyingi kutokana na uwezo wako!
Ukiachana na royal class. Hizo class nyingine za EMU ni sh ngapi kwenda Dodoma?
 
Sijawahi fika Nairobi au sio.

Nairobi ukitoa Uptown... Namaanisha kale ka sehemu kuanzia moi Avenue kuja juu huku Kenyatta, kimathi, banda, mama ngina, muindi mbingu, city hall, Agha khan walk hadi Haile selassie na huku uhuru highway

Sehemu zote zilizobaki Nairobi hakuna modern sidewalks, closed Sewage and drainage system, electric cable hunging everywhere, Barabara hazifagiliwi nk...kote huko kuanzia Upper hill ( huku ndo kabisa Barabara zake ni finyu ukiondoa main roads), kilimani, kileleshwa,lavington hadi kule slum ya kawangware, westlands, parklands, Eastleigh huko ndo worse, eastlands ndo worse zaidi...yaan Nairobi has poor horizontal infrastracture tuseme ukweli.

Huwezi linganisha na Dar yenye 100km of BRT System ambayo inacontain modern and developed horizontal infrastracture

Ukweli usemwe
 
Maneno mengi hayatakufanya ufike Nairobi bro. Wale waliofika kwa evidence ya video na picha wanasema Nairobi is better. Usijiaibishe.
 
Ukiachana na royal class. Hizo class nyingine za EMU ni sh ngapi kwenda Dodoma?
Mchongoko
Bei kwa Royal Class
1. Dar Dodoma - 150,000/=
2. ⁠Dodoma Dar - 150,000/=
3. ⁠Dar Moro - 63,000/=
4. ⁠Moro - Dar 63,000/=
5. ⁠Dodoma Moro - 85,000/=

Bei kwa Business Class
1. Dar Dodoma - 120,000/=
2. ⁠Dodoma Dar - 120,000/=
3. ⁠Dar Moro - 50,000/=
4. ⁠Moro Dar - 50,000/=
5. ⁠Dodoma Moro 68,000/=
 
Unajua Ile ni biashara na upumbavu Ni pale kung’ang’ania bei royal class ishuke wakati treni ina behewa nyingine saba zisizo royal class ukiacha sgr ya kawaida! Options zipo nyingi kutokana na uwezo wako!
Hao jamaa wanaakili za kimaskini. Achana nao. Wanalaumu vitu ambavyo havina msingi. Watashangaa kuona zinajaa everyday.
 
Mchongoko
Bei kwa Royal Class
1. Dar Dodoma - 150,000/=
2. ⁠Dodoma Dar - 150,000/=
3. ⁠Dar Moro - 63,000/=
4. ⁠Moro - Dar 63,000/=
5. ⁠Dodoma Moro - 85,000/=

Bei kwa Business Class
1. Dar Dodoma - 120,000/=
2. ⁠Dodoma Dar - 120,000/=
3. ⁠Dar Moro - 50,000/=
4. ⁠Moro Dar - 50,000/=
5. ⁠Dodoma Moro 68,000/=
What is the problem with Tsh 150,000?
 
Hii screenshot ndio transportation?

Haya let’s do a Fair comparison;
1. Total Air Transport in Kenya stands at 13M while ya Tanzanian ni 4M.
2. Kenyan SGR ferries 9k people in a day towards one destination while yours only carries 4k towards several destinations.
3. Kenyan buses ferries more people than your buses.
Hata bila kwenda mbali sana, number of passengers traveling between Dar and Zanzibar tu ni sawa na idadi ya wasafiri wote Kunyaland nzima currently in all means of transport kwa statistics tu za 2007 mpaka cities commuters

Screenshot_20241027-084111.jpg
 
Back
Top Bottom