ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,145
- 3,333
Source ya mwaka 2023 acha pindua pindua 😆Niliona wachawi wakifurahia hapa ati mwarabu anaishi Tanzania bought Bamburi, what happened juu simwoni hapa?
View attachment 3135644
Source ya mwaka 2023 acha pindua pindua 😆Niliona wachawi wakifurahia hapa ati mwarabu anaishi Tanzania bought Bamburi, what happened juu simwoni hapa?
View attachment 3135644
Maniner we jamaaa, nimecheka kishenzi…..😂😂😂😂Mkuu hiyo picha ya chini lilipopita si wanaweza panda mbegu wale hata Githeri 😀, Kweli VUMBISTAN hadi rail ina vumbi 😀
View attachment 3135764
View attachment 3135762
Bei kubwa sana hii. Pili walitangaza Bei ya 120,000 inakuwaje Leo wameongeza mpaka 150,000 naona wanatangeneza ya viongozi kupanda tu hiiWakuu nauli za Mchongoko
Royal class
Dar Dom 150,000
Business class
Dar Dom 120,000
Dar Moro
50,000
Maoni yangu hii service ya mchongoko itafeli. I hope to be proven wrong.
Alafu waache tamaa, hii treni inatumia umeme wa TANESCO na sio diesel ya muarabu.Wakuu nauli za Mchongoko
Royal class
Dar Dom 150,000
Business class
Dar Dom 120,000
Dar Moro
50,000
Maoni yangu hii service ya mchongoko itafeli. I hope to be proven wrong.
Ofcz watu wa kupanda watakuwepo ila washushe bei iwe kwa ajili ya watanzania mana ni mali ya mtanzania.Bei kubwa sana hii. Pili walitangaza Bei ya 120,000 inakuwaje Leo wameongeza mpaka 150,000 naona wanatangeneza ya viongozi kupanda tu hii
Sisi tunajenga subway city centre tena ya umemeYani hata commuter mmejenga ya diesel, hivi mlilogwa na Nani nyie?
Hii ni 21st century mzee mambo ya climate change hatutaki hewa ya ukaa mijini 🤣🤣🤣🤣Kwani ni lazima tujenge ya umeme? Unaishi kwa nyumba yenye haijakuwa connected to electricity yet you are here noise about Stalling refurbished electric trains. Ambia Serikali ikuletee umeme karibu na wewe kwanza.
Show us the schedule tuone, ama bora the rail is there then basi mko na commuter rail service?😂😂😂
Muwe mnaangalia na nchi Sasa wewe unasema 21th century wakati wao diesel ndo 21th century muwe na huruma kidogo,🤣🤣🤣Hii ni 21st century mzee mambo ya climate change hatutaki hewa ya ukaa mijini 🤣🤣🤣🤣
Au watu wa Buses wanaleta upuuzi. Kitu kama hicho ndicho kinaweza ingiza pesa ndefu zaidi.Wakuu nauli za Mchongoko
Royal class
Dar Dom 150,000
Business class
Dar Dom 120,000
Dar Moro
50,000
Maoni yangu hii service ya mchongoko itafeli. I hope to be proven wrong.
Unaelewa maana ya Vlog kijana sio promo video.
View: https://youtu.be/hHzgG5jSqYo?si=BpT2u-jaTbwqxaL4
Tuoneshe electric sasa