Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu nauli za Mchongoko
Royal class
Dar Dom 150,000
Business class
Dar Dom 120,000
Dar Moro
50,000

Maoni yangu hii service ya mchongoko itafeli. I hope to be proven wrong.
Hio washafeli kabla hawajaanza. Mimi nilidhani 50k to Dodoma Naona ilisaundi fresh
Hizo seti 10 za EMU walizonunua watapanda wao viongozi tu wanaolipiwa nauli na serikali.
Narudia watapata hasara.

Ndo maana wako kimya kumbe. Hawatangazi popote nauli za mchongoko. Wanatangaza ratiba tu.

Hiv wadau hayo manauli makubwa kama Air Tanzania na EMU ni roho mbaya ya kutotaka watu watumie usafiri bora au ni nini?
Siku hiz hata Air Tanzania kwenda Bukoba inaweza zidi laki sita. Kuna kitu hakiko sawa
 
When I told these witches that Katarama Marcopolo buses were built in Kenya walinipinga, it’s now good the truth is coming out.


View: https://x.com/BusesNation/status/1850232735467536661

so marcopolo za china sio marcopolo?😂

tafuta katarama iliokua assembled kenya mm nifunge acc sasa hvi 😂😂😂

kama mtu anauwezo wa kununua scania irizar i6s tano kwa mpigo unaona huyo ji mtu wa mchezo 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom