Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu nauli za Mchongoko
Royal class
Dar Dom 150,000
Business class
Dar Dom 120,000
Dar Moro
50,000

Maoni yangu hii service ya mchongoko itafeli. I hope to be proven wrong.
Wacha kelele Royal class ni behewa moja Kati ya nane! Wewe unaweza panda class nyingine unazoweza afford! Usilazimishe mambo! Ile ni biashara kuna train za mabehewa 14 pia!
 
Kuna mtu Bado ana maswali kuhusu kazi ya kupanua Elimu anayofanya SSH?

Julius Nyerere University of Agriculture and Technology -Butiama 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBkzvj9KCqi/?igsh=MW81MnBqODd6djZpbw==
View attachment 3135722View attachment 3135723View attachment 3135724View attachment 3135725View attachment 3135726View attachment 3135727View attachment 3135728

My Take: Kazi kama hii inaendelea Mikoa yote kuanzia Rukwa Hadi Kagera,Kigoma Hadi Lindi,Tanga Hadi Katavi.

Mradi Magufuli aliuhujumu!
 
Wakuu nauli za Mchongoko
Royal class
Dar Dom 150,000
Business class
Dar Dom 120,000
Dar Moro
50,000

Maoni yangu hii service ya mchongoko itafeli. I hope to be proven wrong.
Hawa watu wapumbavu sana, nimesoma juzi kwenye muda wamekua wakiendesha sgr wametengeneza billion 18 huku gharama ya umeme uliotumika katika kipindi chote ni wa billion 1 tu, inaonesha faida ni kubwa kuliko gharama za uendeshaji, sioni haja ya kupaisha bei za EMU kiasi hicho labda kama inatumia lisaa.
 
hii ndio kitu ya kusherekea 😂😂😂😂😂

mwaka mzima port inahudumia meli mbili za kubeba makaa na ngamia
Unaumia ukiwa wapi? Are you aware that Mombasa alone handles more than trice the number of ships being handled by all Tanzanian ports?
 
Hii ni 21st century mzee mambo ya climate change hatutaki hewa ya ukaa mijini 🤣🤣🤣🤣
Yet only 45% of Tanzanians ndio wamekuwa connected to electricity while 85% of Kenyans are connected to electricity.
 
Kenyan schools has the most beautiful buses in East Africa

1729962531959.jpeg
 
Back
Top Bottom