Mimi nilishaachaga kuku engage maana naona kama naongea na kichaa.
Usiwe kama MSENGE.
Mimi nimefanya hiyo biashara na niliwahi kuwa mchuuzi na mchimbaji mdogo.
Ilikua ukiwa una madini na hauna leseni basi inakua mali ya serikali,ila sasa hivi unaweza kwenda kuuza pasi na leseni na unakatwa 10% kama kodi.
HII SERA ALIILETA MAGUFULI MSENGE WEWE.
Kabla hajafa alishaongea na mabenki kuwezesha mikopo kwa wachimbaji wadogo.
Pia kuhusu vituo vya afya kuna vituo vya afya vingi tu na zahanati zilizojengwa kipindi chake.
-Usimfananishe Magufuli na huyo mpuuzi mwenzako mvaa ushungi.
*Umeme hii sekta ni Magufuli ambaye aliiweka na ikawa sawa.Pasi na stiglers gorge hadi sasa tusingekuwa na umeme wa uhakika.Acha uchawa wa KISENGE na usini engage mimi kama unaleta mada za kichawa.
*Elimu kama isingekua Magufuli kuweka elimu bure basi hadi sasa watu wasingefurika mavyuoni.
Sera ya elimu bure iligusa hadi raia mafukara ambao walikua wanashindwa michango lukuki ya shule za serikali kipindi hiko.
*Uchumi upi unaouzungumzia wewe ilhali una madeni lukuki na kila siku shilingi yako inaporomoka!?
Hivi haujui kama Tanzania haina tena hadhi ya middle income!?
*Sekta ya anga nani alijenga terminal 3 na kuanza ununuzi wa ndege!?
Au unajisahaulisha hapa!?
Usiniletee ufala wako hapa.
Usini engage kabisa.
-Unavuja mapovu badala ya kuleta ushahidi,leta hapa ushahidi wa Magufuli akisaidia wachimbaji mikopo na vifaa vya kuchimbia Ili tulinganishe maana Mimi Nina ushahidi wa live Samia alifanya hayo,kupayuka hakutakusaidia.
-Kwani aliyefuta ada primary ni nani si ni Mkapa? Magufuli alifuta ada ya form 4 ambayo ilikuwa 20,000 nayo hii alipunguza JK kutoka 40,000. Hiyo Elimu Bure ya Magu ni ipi? Mbona husemi alituongezea makato ya bodi ya mikopo na kuleta wizi wa riba na penati? Vyuo Vikuu alivyojenga ni vipi Hadi watu wafurike? 😂😂
Hapo hapo kwenye Elimu Samiambaa ushungi amefanya yafuatayo
Amefuta ada ya form 6
Amefuta wizi wa penati na riba bodi ya mikopo
Ameleta mikopo Kwa Diplomas on top of Universities
Anajenga Vyuo Vikuu na kupanua Vyuo Vikuu Nchi nzima,hakuna Mkoa hauna University au Campus Kwa Sasa
Amejenga na anajenga maelfu ya shule Mpya,huwezi sikia Watoto wanakaa chini au wanaenda shule Kwa mafungu kama awamu ya 5
Amejenga Vyuo vya Ufundi (VETA)Wilaya zote 64 Kwa mpiga na Mikoa 5
Amebadili sera ya Elimu
Na amewarjesha wale walionyonwa fursa ya Elimu na kina Magu Kwa visingizio vya Mimba.
-Kwani bila hiyo stiglazi kulikuwa hakuna miradi mingine? Hiyo so ni uamzi wake binafsi lakini hata bila huo umeme wa kutosha ungepatikana Kwa miradi mingine mfano gasi ambayo Mwendazake aliachana nayo.
Hata Sasa baada ya stiglazi kwisha miradi mingine inaendelea eg Malagarasi Hydro,Kakono Hydro,Kishapu Solar, Geothermal,Gesi Mtwara na Mingine Mingi tuu huko Njombe eg Rumakali.
-Tangu lini Nchi hii ilikosa Madeni? Awamu ya Mwendazake hamkukopa nikuwekee takwimu? Uchumi unapata kuliko kawaida na wewe unaona huko mtaani ,thamani ya Shilingi mwaka 2026 sio sawa na Mwaka 2021 ,ilishuka.Swali ni Je baada ya kushuka uchumi ukishuka? Currency value has nothing tangible to do with economic growth,hiyo ni medium of exchange tuu unless ujinga unakusumbua.
-Sikia huyu mbuzi ,eti Tanzania sio Middle Income 😁😁,weka ushahidi wa huu ujinga wako
-Terminal 3 ndio vitu gani wakati Viwanja vya ndege 15 viko under construction na vingine 7 kwenye usanifu across Tanzania? Kununua ndege ndio kuimarisha sekta ya Anga? Kabla hazijanunuliwa ndege zilikuwa haziji hapa Tanzania? Nonsense
Mwisho ngoja nicheke 😂😂😂😂😂,Mzee nitakuwa engage so long as unapotosha Ili kuweka takwimu sawia.
Soma hizi takwimu hapa Kwa maumivu harafu umwage povu 😁😁👇 👇