The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hizo roads zenyewe sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizi estate za estlands ziko na zaidi ya 3000km za paved roads.
Hizo roads zenyewe sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizi estate za estlands ziko na zaidi ya 3000km za paved roads.
Hizo roads zenyewe sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3131156View attachment 3131158View attachment 3131159
Nyang'au kipchirchir arap Teargas atakuambia made in Kenya😁😁
VIP si mlikuwa mnataka muinguanishe na EPC plus F sijui waziri wako wa fedha wa awamu hii na waziri wa uchukuzi si walidai itaanza ?Wewe mbuzi,hapo Juu umesoma ni list ya Mikoa ya Kundustan au? Si umenikoti Kwa hiyo post , unadhani hiyo Mikoa imeunganishwa? Kwamba ukitoka Songea unaenda Dar mpaka upite Iringa au Lindi wakati Kuna Barabara hapo ifakara imejaa mavumbi?
Kwamba ukitoka Mbeya/Tunduma unaenda Mwanza lazima uzunguke Iringa na Dom wakati Kuna Barabara hapo imejaa mavumbi.
Mwisho ni upuuzi kujenga reli Kwa Matrilioni wakati miundombinu ya msingi kama Barabara inavyotakiwa kufungua uchumi wa kulisha hiyo reli hujaijenga.
Hiyo data ya ZNZ ni number ya foreign visitors tuu sio pax yoteMombasa 1.8M
Zanzibar 800k
Mafuta ya white party yalikuwa kidogo ama tuongeze siku nyingine? 🤣🤣🤣🤣What a goal🙌
TAN 2 - 1 KEN ..
wakenya leo tunawafunga FINAL
Mkuu unapitwa huku 😂😂😂👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DBWTY1fItr9/?igsh=MXRqd3FlOXBic2hiOQ==.
You have just been raped using Diddy's oil where do you get the guts to call us your wives😁After years of kupigwa na Kenya at least leo mmepata kabahati. Congratulations to Gorogoro heroes.
That still doesn’t dispute that that Tanzania is our wives when it comes to football.
Tutokee hapa na vitakwimu vyako uchwara hatubembelezi punda kwenye mteremko 😁Ebu fikiria since 2000(24yrs) leo ndio Tanzania imefunga Kenya😂😂🤣
Kina Teargas wamepakwa mafuta 🤣🤣🤣Kwani nini kimetokea?
Wewe si ndio umeleta huu mjadala humu sisi tunachangia tuu😁Let me watch Chelsea Vs Liverpool Wakati wachawi wanshangilia kushinda Kenya for the first time in 24yrs😂😂
Na hapo hujakutana na Probox ya miraa ikiwa inawahi airport 🤣🤣🤣Bado matatu hapo...wale watu wanadrive vibaya sana aisee na ile miraa wanayotafuna
Ajali ni nyingi sana kenya
Oyaaa mwanangu una macho kuliko macho yenyewe, ebhn ndio naangalia hapa hili dude halina taa na linakatiza CBD bila tabu yoyote aisee, Tanzania hata nje kwako hupaswi kuliweka unakamatwa, lkn Kenya ndiyo their best public transport 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Customs Wao hawachukui rushwa!Niliwahi sema kuwa Kenya kazi yao kubwa na kuzisema vibaya nchi jirani kwenye internet...
Yaani vita kubwa ya kuichafua Tanzania inayoendelea huko kwenye mitandao inayofanya na uninformed and Arrogant kenyans imevuka mipaka.
Anything about Tanzania...wao kazi yao ni kusema mabaya tu mengine ni uongo, mengine ni makosa yao...
Nadhani ndo maana Mungu anazidi kuwapunish na matatizo yasiyoisha huko Kenya. Negative energy inawarudia indirectly
View attachment 3130988
Embu watuambie hili kopo ni brand gani? Maana za wenzetu kuna brand kama Scania Marcopolo, Irizar etc hii body inaitwaje? 😁Oyaaa mwanangu una macho kuliko macho yenyewe, ebhn ndio naangalia hapa hili dude halina taa na linakatiza CBD bila tabu yoyote aisee, Tanzania hata nje kwako hupaswi kuliweka unakamatwa, lkn Kenya ndiyo their best public transport 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3131215
Ilishindikana maana Kwa mujibu wa Mwigulu riba zilikuwa kubwa sana sokoni.VIP si mlikuwa mnataka muinguanishe na EPC plus F sijui waziri wako wa fedha wa awamu hii na waziri wa uchukuzi si walidai itaanza ?