Kwahiyo connection ya ruvuma Zambia inatoka wapi mfano.
Sio Kila sehem inafaa kujengwa barabara lazima uangalie economic viability ,mfano hiyo border ya Malawi - songwe unazungumzia kujenga border post nyingine wakati hata Ile ya kasumulu Bado haijawa viable zaid ukijenga he huo upande wa pili watajenga ili iweze lipa au ni kujenga tu ili mradi kuwepo na barabara?
Inawezekana wewe unaangalia ili mradi kujenga tu bila kuangalia economic viability na ndio maana huwezi kuona umuhimu wa reli katika kukuza uchumi.
Kujenga kwa viapnde kunaendana na budget na matarajio , huwezi kwenda kukopa USD 10bil Leo eti unafanya maboresho ya barabara ambazo kwa Sasa hata ukiziangalia hakuna economic viability.
Yaan unataka Leo tukope letsay USD 1.bil kujenga barabara ya mbeya - tabora - mwanza ambayo kwa wastan hakuna viable economic activity ya kuweza kurejesha madeni na tuache kujenga reli kwenda kigoma na Burundi na rwanda ambako tayari Kuna mzigo wa nickel, cobalt na madini mzigo wa bandari ambayo inaweza kurejesha fedha zetu mapema?
Kujenga kwa vipande ni kwasababu Bado hatujawa na uwezo wa Kuanzisha ujenzi wa km hizo kwa pamoja na kwa sababu hakuna viability yoyote.