instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,544
- 19,491
Niliwahi sema kuwa Kenya kazi yao kubwa na kuzisema vibaya nchi jirani kwenye internet...
Yaani vita kubwa ya kuichafua Tanzania inayoendelea huko kwenye mitandao inayofanya na uninformed and Arrogant kenyans imevuka mipaka.
Anything about Tanzania...wao kazi yao ni kusema mabaya tu mengine ni uongo, mengine ni makosa yao...
Nadhani ndo maana Mungu anazidi kuwapunish na matatizo yasiyoisha huko Kenya. Negative energy inawarudia indirectly