buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Kwamba Kigogo Busis ni mradi cosmetic?Tuwaulize nyie wazee wa Sgr in what sense mlipuuza uchumi wa Mikoa hiyo Kwa kupoteza hela Kwa miradi ya cosmetic kama Sgr,Kigongo Busisi,ndege nk.
Mikoa ifuatayo haijaunganishwa na Lami.👇👇
1.Mbeya-Singida
2.Mbeya-Tabora
3.Katavi-Rukwa
4.Songwe-Malawi
5.Rukwa-Zambia
6.Ruvuma-Morogoro
7.Ruvuma-Malawi
8.Kigoma-Katavi
10.Kigoma-Tabora
10.Kigoma-Kagera
11.Arusha-Mara
12.Manyara-Tanga
13.Manyara-Simiyu
14.Shinyanga-Simiyu
15.Njombe-Morogoro
16.Lindi-Morogoro
17.Mtwara-Iringa via Lindi & Moro
18.Tanga-Manyara
19.Kilimanjaro -Manyara
20.Tanga-Morogoro
Kiufupi hapo nimekuhurumia tuu ila list ni ndefu sana na hapo sijataja Barabara muhimu sana ambazo zinatumiwa na watu wengi kuliko zili ambazo zimeunganisha Mikoa Kwa Sasa eg
Masasi-Mtwara via Tandahimba
Mbeya-Katavi via Mlowo-Majimoto
Njombe-MbambaBay
Mbeya-Njombe via Makete
Arusha-Dodoma via Simanjiro
Mpanda-Tabora via Kaliua(Shorter distance kuliko ya Mpanda-inyonga-Tabora).nk nk
Mwisho narudia tena watu wanataka Barabara na sio ma reli yenu hayo
👇👇View attachment 3129385
Huna akili.