Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥

View: https://www.instagram.com/p/DBWTv7aqK4k/?igsh=azEwZzM2OGN2c2dk
20230215_120116.jpg
 
Huyu msumbufu atamsumbua sana Ruto akiwa nje ya serikali kuliko alivyokuwa ndani ya serikali. Ni mbwatukaji na mropokaji sana.

Aliahatoa shutuma hizo hizo akidai Uhuru anataka kumuua... Na kusema hata akimuua bhas asiwaguse watoto wake... Hiyo ili punguza nguvu ya ushawishi ya uhuru ndani ya Mungiki.... Sasa zamu yake imefika... Ana force kupata na uhuru ili waunganishe nguvu pamoja... Mungiki iwe against ruto na serikali yake..

Shida bado ni kubwa hapo kaskazini.. Bado karata za Ruto zimekaa vizuri.. Kuwaficha kwapani critics wakubwa kama Maraga na Atwoli.. Bado anamzuga mzee yule Baba kwa uchair wa AU... Ah

Huo moto ukilipuka itawachukua 10 yrs kukaa sawa.
 
Jamaa ni jitu jinga sana 😂😂😂 limekomaa kabisa, kimsingi there is no way utaenda Znz kwa meli au boti bila kufika posta.
Eti yeye ndio anatuambia sisi Posta ni CBD ila hapo unapopandia boat kwenda Znz sio CBD. Hajui kuwa Morogoro road inatoka Morogoro hadi bandarini Dar? Yaani unanyoosha straight inaingia bandarini.
 
Huyu msumbufu atamsumbua sana Ruto akiwa nje ya serikali kuliko alivyokuwa ndani ya serikali. Ni mbwatukaji na mropokaji sana.

Aliahatoa shutuma hizo hizo akidai Uhuru anataka kumuua... Na kusema hata akimuua bhas asiwaguse watoto wake... Hiyo ili punguza nguvu ya ushawishi ya uhuru ndani ya Mungiki.... Sasa zamu yake imefika... Ana force kupata na uhuru ili waunganishe nguvu pamoja... Mungiki iwe against ruto na serikali yake..

Shida bado ni kubwa hapo kaskazini.. Bado karata za Ruto zimekaa vizuri.. Kuwaficha kwapani critics wakubwa kama Maraga na Atwoli.. Bado anamzuga mzee yule Baba kwa uchair wa AU... Ah

Huo moto ukilipuka itawachukua 10 yrs kukaa sawa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇

View: https://x.com/Kenyans/status/1848039184071573629?t=g8NhO0ktDXGdxlS3eneGag&s=19
 
Back
Top Bottom